Hapa kasome Reverse Psychology mara nyingi inawahusu wanaume ila kwa situation hii inabidi uoneshe na kumzoesha kumjari jamaa kwa muda fulani then ondo hizo Care na kuwa kama huna interest nae tena hapo kama kweli njia zako ulifanya vizuri ataanza kukufuatilia wewe na kukuweka kipaumbere kama ija Work out tafuta uhusiano mwengineUmeonaa eee haswa Kama bado huyo mtu aoneshi dalili
πππππππKama mwenyewe unajiita 'CHECK' nadhani unamaanisha 'CHICK' basi huna la maana utachezewa na majogoo tu wewe kifaranga.
Hapo ukitaka kufanya mapinduzi toa "NDOGO"Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae mbali
Sasa ndugu zangu unajua kwanini sikai muda mrefu na mahusiano ni kwasababu kila mahusiano nayoingia najikuta mimi ndio side chick, unakuta mwanaume ana mahusiano yake serious mimi ananifanya mchepuko nikishagundua hilo ndio huwa navunja mahusiano
Yaani nimechoka kila husiano naloanzisha unakuta tayari mwanaume ana mtu wake huko wa zamani mimi ndio kama nimevamia penzi la watu, hii kitu huwa inaniuma unaogopa hata kuharibu maana unakuta ameshazaa na binti au ana ujauzito au wanaishi wote ( hapa sizungumzii wanaume waliooa) nazungumzia wanaume tu ambao wapo na mahusiano serious
Kwasasa nimepata mtu ila na yeye nimegundua ana mahusiano yake serious japo sijamwambiaβ¦ mahusiano yana mwezi mmoja tu,, sasa wakuu hili husiano nataka liwe la mwisho huyu mtu nataka nimngβangβanie ikiwezekana penzi lake livunjike libaki kwangu
Wakuu nimechoka kuanza mahusiano mapya, huyu mtu hajaoa ila ana husiano seriously nataka nifanye mapinduzi
Wanaume kwa wanawake naombeni mbinu za kutumia ili niwe main check
ππππππ naona unapita na upepoAcha umalaya pia acheni kunizushia kuwa mimi ni yule Komando.
Kwanza usiwe desparate kupata huyo mtu, we kuwa kawaida endelea na maisha yako atakuja tu.
Pili usiwe tooo nice nature yetu binadamu tunajifanya "hatupendi tunachokipenda" ukiwa tooo nice utabaki mchep tu foreva and eva
Mwisho hebu kuwa nao wawili au watatu (simaanishi kulala nao) ishi naooo halafu utachagua mmoja anaefaa
Kasome kitabu kinaitwa "why men marry bitches" hadi hapa ukishindwa mapinduzi nenda tu konvetini dada ukawe sista.
Yeah sometimesπππ kumbe kuna muda unakua na akili
Mtoa bandiko,nimekwambia njoo huku kwedikwazu tusogeze maisha au hutaki,achana na mambo ya mjini,Huyo ambae hana kitu namtoa wapi⦠au nikamtongoze mimi
Wanaume wenyewe siku hizi waoga wakiona umesuka umependeza wanakuona wa ghali
Kuna mmoja alinambia yeye hawezi kuoa mwanamke msomi na mzuri ni Heri akoe singomaza⦠kwamba wanawake wa hivyo watamsumbua
Unazungumzia mwaka na wakati kuna wakongwe hapa hata wiki haijawahi kufika. Hongera kwa kuvumiliaWakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae