Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Attachments

  • 1635221343004.jpg
    1635221343004.jpg
    70.9 KB · Views: 8
Haji Manara na wakeze alikua nae juzi tu hapo hamna jipya. dola 100 unakula nyama yake na haina maajabu ni beef inachomwa tu na kuwekwa chumvi simple km mango garden
Unachonunua ni ile staili tu ya kuweka chumvi, mengine hata uchagani krismasi hii nyama za kuchoma nzuri kabisa unazipata
 
Hapa bongo hata DSM tu mchoma nyama maarufu ni nani?

Kazimoto pork au mpaka liitishwe shindano?
 
Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
Kupata vichekesho vingi kama hivi tubonyeze ngapi?
 
Sio dola 1000?
Ipo kama ukitaka.
Huko ni Dubai mkuu wanaenda matajiri wa mafuta wakiuziwa bei kubwa ndo wanafurahi.
Ila hana cha ajabu,
Nyama ni hizo T bone au Fillet unazoweza pata hapo karambezi au Juliana pub.
Japanese Kobe beef au Wagyu huko duniani bei yake ukiambiwa utakimbia.
Ila ukijua ni nundu tu hizi ukienda kwa mangi makoi popote unapata kwa buku 2.
 
Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.

Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.

NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.

View attachment 2455839
Unachotakiwa kufanya ni kutafuta kazi ya kufanya na uhame kwa dada yako uondokane na kulala kwenye sofa hapo sebuleni kisha ndo uendelee na ndoto hizi za kibagi bangi
 
Ipo kama ukitaka.
Huko ni Dubai mkuu wanaenda matajiri wa mafuta wakiuziwa bei kubwa ndo wanafurahi.
Ila hana cha ajabu,
Nyama ni hizo T bone au Fillet unazoweza pata hapo karambezi au Juliana pub.
Japanese Kobe beef au Wagyu huko duniani bei yake ukiambiwa utakimbia.
Ila ukijua ni nundu tu hizi ukienda kwa mangi makoi popote unapata kwa buku 2.
Iyo mitaa ndo pale ulipovamiwa na wahuni ukaona isiwe so ukawaacha wachukue wanachotaka. Baadaye ukwatafuta mmoja baada ya mwengine?
 
Back
Top Bottom