Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
Nikopeshe blazah🙌. Hiyo mikato ya matajiri hiyo.
 
Umechelewa Sana, maana nakumbuka bilionea Bill Lugano , alitumia $1m hapo 😂🤣
Yule jamaa alitaka sana piga picha nami sema walinzi wangu walikuwa makini. Nimeapa sitoenda tena kula pale. Msumbufu sana. Na change alikuwa harudishi sema nliona si tatizo umaskini tu.nlitaka sana aje angalau kwa week moja achome nyama hapa TZ kwenye birthday yangu mwakani. Sema tu usumbufu wake ndo unanikera.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Happy Holidays Tajiri.
 
Back
Top Bottom