Nataka kwenda kuoa Zanzibar

Nataka kwenda kuoa Zanzibar

Kama umekulia bara vyakula atakavyopika mwanamke wa kizanzibar hautaweza kuvifurahia.

Utaona ni miyeyusho tu kama sio michosho.

Na mwenyewe ataona ni kawaida Na amekupikia to the maximum lakini bure kabisa!
 
Mkuu, mada yako sijasoma yote, nimesoma kichwa cha habari.

kisiwani Zanzibar mara kadhaa nimekuwa nikienda na kuishi katika baadhi ya mitaa, ukweli ni kwamba wanawake wa Zanzibar hawana maajabu yeyote, ukioa mwanamke wa Zanzibar utajuta maisha yako yote.
 
Uzuri ndoa za ki islamu hakunaga kujuta maisha yote coz mkishindwana ni talaka
Mkuu, mada yako sijasoma yote, nimesoma kichwa cha habari.

kisiwani Zanzibar mara kadhaa nimekuwa nikienda na kuishi katika baadhi ya mitaa, ukweli ni kwamba wanawake wa Zanzibar hawana maajabu yeyote, ukioa mwanamke wa Zanzibar utajuta maisha yako yot
 
Mkuu, mada yako sijasoma yote, nimesoma kichwa cha habari.

kisiwani Zanzibar mara kadhaa nimekuwa nikienda na kuishi katika baadhi ya mitaa, ukweli ni kwamba wanawake wa Zanzibar hawana maajabu yeyote, ukioa mwanamke wa Zanzibar utajuta maisha yako yote.
Utajuta kivipi fafanua
 
Halafu ongezea katoka bara! Kwa muda niliokaa huku, kuna ugumu wa kuoa mwanamke wa huku hata kama ni muislamu mwenzao kutoka bara. (Utakuwa shahidi)

Mwanaume wa huku ataoa mwanamke kutoka bara, lakini ukweli kutoka moyoni huyo mwanamke atapata sana mateso ya kisaikolojia hasa kama wanakaa huku Zanzibar! (Utakuwa shahidi)

Wanawake kutoka bara iwe muislamu au mkristo huchukuliwa kwa jicho la tofauti na ni baya.Wanaume ndiyo kabisa.(Utakuwa shahidi).

Sifa za wanawake wa huku hazitofautiani sana na wanawake wa pwani. Viburi , ujeuri na kupandisha sauti ni kawaida tu.Mwanamke wa huku hapigwi na ni nadra sana kukuta mwanamke kapigwa (Utakuwa shahidi)

Baba mkwe anakuozesha mwanae kwenye usia anamwambia "akikushinda njoo nyumbani chumba chako bado kipo".

Dini imesema ahudumiwe kwa kila kitu yeye kazi yake kukaa ndani na kuangalia nyumba, watoto na kumstarehesha mume.Wenyewe wamezoea, wewe je? Je, dunia tuliyopo inaruhusu hivyo ukilinganisha na vipato vyetu tulio wengi?
Duu kwa hiyo akae nyumbani ahudumiwe
 
Mkuu, mada yako sijasoma yote, nimesoma kichwa cha habari.

kisiwani Zanzibar mara kadhaa nimekuwa nikienda na kuishi katika baadhi ya mitaa, ukweli ni kwamba wanawake wa Zanzibar hawana maajabu yeyote, ukioa mwanamke wa Zanzibar utajuta maisha yako yote.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu, mada yako sijasoma yote, nimesoma kichwa cha habari.

kisiwani Zanzibar mara kadhaa nimekuwa nikienda na kuishi katika baadhi ya mitaa, ukweli ni kwamba wanawake wa Zanzibar hawana maajabu yeyote, ukioa mwanamke wa Zanzibar utajuta maisha yako yote.
Why?,tufafanulie kidogo sababu za kujutia
 
Habari zenu wana jamvi.

Nisiwachose sana.

Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari..

Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person.

Ukristo wangu ni ukristo wenye matege.

How? Sisi ukoo wetu wote ni waislamu. Babu yangu kizaa baba alibadili dini na kuwa mkristo wakati ana muoa bibi kizaa baba. Bibi kizaa baba kwao walikuwa wakristu. Babu yangu alikutana nae alipoenda kutafuta maisha kwenye mkoa ambao una wakristu wengi (nyumbani kwao bibi)

Hata hivyo babu yangu alikuwaga ni wale wakristu wenye kuvaa kanzu na kibaragashia. Still bado alikuwa n.a. " aura" (haiba) ya kiislamu.

Vivyo hivyo kwa Marehemu baba yangu mzazi.

Ndugu zetu karibu wote ni waislamu. Hata kwenye tumbo letu baadhi ya ndugu zangu walipewa majina ya ki islamu walipo zaliwa (sababu?) Baba alikuwa anawapa majina ya babu zake na baba zake wakubwa. Mfano kaka yangu ninae mfuata anaitwa Mohamed ingawa mkatoliki..mtaani kwetu anaitwaga Mohamed Mkristo or simply Mudi Mkristo.

Pamoja na yote Mimi mwenyewe binafsi nimekuwa exposed n.a. uislamu tangu nikiwa mdogo. Mifano nilikuwa naenda madarasa nikiwa mtoto kwa ajili ya kampani ya ndugu zangu upande wa baba (watoto wa baba wakubwa wadogo na mashangazi)

Kwetu sisi si waenda kanisani kihivyo (church goers)

Miaka ya 2000 mwanzoni tulipangishaga mashahidi wa yehova. Kuna siku walikuja na wazungu kumuhubiri baba..alicho waambia ni " nyinyi jeshi la Yehova (aliwaita Jeshi la Yehova) mnataka kusema mnaijua Biblia kuliko Mimi mkatoliki (kiukweli ni kwamba kama ilivyo kwa wakatoliki wengi duniani baba angu hakuwa anaijua biblia kihivyo). Akaendelea kuliko kujiunga na kanisa lenu si bora nirudi kwenye dini yangu ya ukoo (uislamu)

kauli hii ya baba ilipanda kitu kikubwa sana ndani ya nafsi yangu kuhusu uislamu.

Katikati ya miaka ya 2000 dada angu aliolewa na muislamu akabadili dini.

So kwangu Mimi kurejea kwenye uislamu wala hata sio tatizo.

Now kuhusu mwanamke wa kizanzibari.

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nilipendezwa kuwa na mke wa.kizanzibari.

Nataka kwenda Zanzibar kwa ajili ya kutafuta mwanamke wa kuoa.

sifa

1. Awe mzanzibari.
2. Umri miaka.16 hadi 23 (asiwe na mtoto) Mimi umri wangu ni miaka 38.
3. Elimu darasa la saba na kuendelea (Mimi elimu yangu ni chuo kikuu nimejiajiri naishi Dar)
4. Awe mcha Mungu.
5. Akiwa mwembamba mrefu nitafurahi zaidi.

Mbinu nitakayo itumia kumpata.

Nataka kwenda Zanzibar then niende msikitini niongee na mzee au wazee niwajulishe adhma yangu.

Je, kwa mbinu hii nitafanikiwa? Wazoefu nipeni mwongozo.

Naweza kwenda hata Pemba.

Kila la kheri
 
Kuna mchaga mmoja alimuelewa mzenj jamaa alifanyiwa figisu but mwishoe alipata mke na alibadili dini pia,,,,Utapata tu nawewe
 
Upuuzi tu. Sie dada zetu wanawaoa lakini sisi hawataki tuoe dada zao. Ngeseremaz
 
Kujieleza Sana napo ni dalili ya udhaifu......

Usikimbilie zanzibar ukawa marioo fanya bure .....jipange
 
Back
Top Bottom