Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

man99

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
94
Reaction score
11
Jamani habari zenu,

Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital
.
 
Kwanini ulichelewa kaka?, lakini poa we nenda bana katoe koti la babu maana nikiona watoto wadogo ambao hawajatolewa hiyo kitu jinsi mdude unavyokua sipati picha kwa kijana wa 19 yrs ambaye mdude umeshakomaa na mkubwa nahisi unatisha sana.

nenda hospitali baada ya kutolewa uulize na hayo maswali yotee, utapata majibu sahihi, hapa unaweza ambiwa tu ilimradi tu kajibu , wengine hawajui kitu walitolewa wangali bado wadogo sana. Ukishatoa tafuta mke mtarajiwa.
 
nilivyosoma hii post nusu nitapike,hv mtoto wa kiume miaka 19 bado hujakatwa,while it suppose to be done 18 or 17 years ago. well hukuwah kuwa na manzi b4 na wakakucheka?
 
nilivyosoma hii post nusu nitapike,hv mtoto wa kiume miaka 19 bado hujakatwa,while it suppose to be done 18 or 17 years ago. well hukuwah kuwa na manzi b4 na wakakucheka?

ni mambo ya kiimani,si sheria na wala haijaandikwa sehemu...Kuna nchi nyingi na makabila mengi sana hawatahiri wanaume kabisa ama mpaka ukubwani..
 
nilikuwa shule ya msingi darasa la pili..nakumbuka ndani ya hiyo hiyo wiki nilianza kucheza mpira bado nina bandeji...
nina ndugu yangu yeye ni zaidi ya miaka ishirini,ana wiki tatu sasa lakini bado anadekadeka akidai kidonda hakijapona...
 
Ukizingatia masharti ya kitabibu na kula lishe inayotakiwa, ndani ya wiki mbili tu utakuwa umepona.Kuhusu lishe, hakikisha unakula vyakula vyenye protini nyingi kama nyama ya ng'ombe, egg whites (sijui kwa Kiswahili zinaitwaje), kuku, na samaki. Kila siku kula kama grams 200-300 za protini.
 
Pole kaka utapona haraka tu hazitazidi siku 12,alafu daaah hongera na hilo rungu sasa utakalolipata sipati picha utakavyo wakung'uta nalo kudadadeki!!
 
Nadhani inachukua wiki mbili tu kupona kabisa kaka. Ila ukiwasiliana na daktari atakupa majibu sahihi.
 
nilivyosoma hii post nusu nitapike,hv mtoto wa kiume miaka 19 bado hujakatwa,while it suppose to be done 18 or 17 years ago. well hukuwah kuwa na manzi b4 na wakakucheka?

sasa ulitaka utapke nn au una mimba ww!! mbona kuna tamaduni nyingi tu hawatahir kabisa!!!hata ulaya ambao hawajakatwa wapo kibao ingawa ndo wanaodhamin iz program za kutahir uku kwetu wakat wenyewe wengi hawafanyi
 
nilivyosoma hii post nusu nitapike,hv mtoto wa kiume miaka 19 bado hujakatwa,while it suppose to be done 18 or 17 years ago. well hukuwah kuwa na manzi b4 na wakakucheka?

who supposes so?

mawazo mgando na mob-psychology..whats wrong with kuwa na govi?

foreskin inaondolewa kwa sababu mbili tuu: za kiafya na za kidini otherwise hakuna kitu cha ajabu mtu kuwa kama alivyoumbwa na mwenyezi Mungu..unless unataka kunambia kuna imperfection yoyote iliyowah kupatikana katika kazi ya Mungu!

Wamasai na wagogo wanajisikia kutapika wakimuona mwanamke ambaye hajakeketwa..tunakubaliana kuwa mna mawazo yanayofanana?
 
nilikuwa shule ya msingi darasa la pili..nakumbuka ndani ya hiyo hiyo wiki nilianza kucheza mpira bado nina bandeji...
nina ndugu yangu yeye ni zaidi ya miaka ishirini,ana wiki tatu sasa lakini bado anadekadeka akidai kidonda hakijapona...

Haiwezi kuwa sawa kwa kila mtu kuchelewa au kuwahi kunategemea na healing mechanism ya mwil wa mtu!!na complication kutokana na shughul
 
haiwezi kuwa sawa kwa kila mtu kuchelewa au kuwahi kunategemea na healing mechanism ya mwil wa mtu!!na complication kutokana na shughul

ndio maana nikampa scenario mbili...
 
Kwa nini unataka kutahiri? Mtu mzima unataka kujikeketa kwauoga wa kuchekwa na jamii?!!...acha hizo bana, kutahiri ni mambo ya kizamani.
 
Back
Top Bottom