Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

Usimdanganye mwenzio, kutokutahiri ndio mambo ya kizamani.
Hakuna mwanamke anayependa kuona sura mbaya ya govi.

Una exposure ndogo sana, magovi yana raha yake, kwa mfanyaji na mfanywaji. We unafikiri aliyeumba mwanadamu na kufunika kichwa cha mboro akili zake hazijakamilika? Ni nyie wanadamu na uvivu wenu wa kuoga tu ndiyo mmeleta habari za kutahiri, sijuwi kwa nini hamkati midomo ili meno yabaki wazi na madomo yasinuke!
 
Kama isingekuwa peer pressure za utotoni,bado ningekuwa na sweta langu mpaka sasa, nililazimika tu sababu ya mambo ya bweni.

Kama ingekuwa ni leo hii wala nisingejisumbua kabisa.

NAJUTIA KUJITIA ULEMAVU BILA SABABU ZA MSINGI KABISA.
 
Yaani mdogo wangu husijaribu kufanya kitu hicho. Acha kabisa. Mie niliahili ukubwani lkn najuta. Kwanza maumivu pili unaondoa utamu. Mi kama kuna huwezekano ningerudisha. Kama ni usafi utaoga. Usafi wa mwili haufanywii kwa kuondoa viungo. Ndio maana tunapiga mswaki kila siku na hatukati mdomo na kuacha meno nje eti usafi. We kata lkn utajuta kazi ya mungu haina kosa. Hutosikia tena joto lake. Acha kabisa mkuu.

Mkuu wewe ndiyo uko kama mimi, naumiss sana mfuniko wangu, hapa chupi zilishakomaza kichwa cha mashine kimeshakuwa cheusi kama ngozi ya goti, yaani utamu mpaka kuusklizia sana, masaa mawili unatafuta bao!
 
ni wazo zuri sana, wahi kabla hujafika nayo 30 kama mwa-fulani.
 
Una exposure ndogo sana, magovi yana raha yake, kwa mfanyaji na mfanywaji. We unafikiri aliyeumba mwanadamu na kufunika kichwa cha mboro akili zake hazijakamilika? Ni nyie wanadamu na uvivu wenu wa kuoga tu ndiyo mmeleta habari za kutahiri, sijuwi kwa nini hamkati midomo ili meno yabaki wazi na madomo yasinuke!
a.k.a ventilator.....

944331abdb1c904d4770b21febe356de.jpg
tribal1a.jpg
 
jaman mim nina miaka 19 nataka nikatahiri next month sasa nauliza, iv ni kwa mda gan ntaweza kuendelea na shughuli zangu za kawaida bila ku disturb kidonda,
 
daah yan hapa nashindwa niamuaje, mana ambao wamefanya ukubwani wanaxema wanajuta xana, wengine wanaxema niende,duuh?? ,ok ahsanten jaman
 
Nenda tu kijana.. atakayelikata atakupa ushauri mzuri sana... umefanya uamuz mzuri sana
 
Back
Top Bottom