EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
unafika chuo, kipindi uko secondary mpaka saivi hukupata awareness kuhusu umuhimu wa kutahiriwa kwa wanaume
Wewe ulitahiriwa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafika chuo, kipindi uko secondary mpaka saivi hukupata awareness kuhusu umuhimu wa kutahiriwa kwa wanaume
Miss chagga;
Umenimaliza mbavu kweli. Yaani we ni me au ke? Mambo hayo uliyajulia wapi? Anywe supu na mtori, je ka ni Mpare?
Usimdanganye mwenzio, kutokutahiri ndio mambo ya kizamani.
Hakuna mwanamke anayependa kuona sura mbaya ya govi.
Yaani mdogo wangu husijaribu kufanya kitu hicho. Acha kabisa. Mie niliahili ukubwani lkn najuta. Kwanza maumivu pili unaondoa utamu. Mi kama kuna huwezekano ningerudisha. Kama ni usafi utaoga. Usafi wa mwili haufanywii kwa kuondoa viungo. Ndio maana tunapiga mswaki kila siku na hatukati mdomo na kuacha meno nje eti usafi. We kata lkn utajuta kazi ya mungu haina kosa. Hutosikia tena joto lake. Acha kabisa mkuu.
ata sijijui, nilikua mdogo sana, huku zanzibar watoto hutahiriwa wakiwa bado wadogo sanaWewe ulitahiriwa lini?
a.k.a ventilator.....Una exposure ndogo sana, magovi yana raha yake, kwa mfanyaji na mfanywaji. We unafikiri aliyeumba mwanadamu na kufunika kichwa cha mboro akili zake hazijakamilika? Ni nyie wanadamu na uvivu wenu wa kuoga tu ndiyo mmeleta habari za kutahiri, sijuwi kwa nini hamkati midomo ili meno yabaki wazi na madomo yasinuke!
wiki tu unapona ila uwe unakunywa mtori na supu
kwa mwandiko huu bora usitahiriwe
nilivyosoma hii post nusu nitapike...
ulikua wap mda wotee