Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
who supposes so?
mawazo mgando na mob-psychology..whats wrong with kuwa na govi?
foreskin inaondolewa kwa sababu mbili tuu: za kiafya na za kidini otherwise hakuna kitu cha ajabu mtu kuwa kama alivyoumbwa na mwenyezi Mungu..unless unataka kunambia kuna imperfection yoyote iliyowah kupatikana katika kazi ya Mungu!
Wamasai na wagogo wanajisikia kutapika wakimuona mwanamke ambaye hajakeketwa..tunakubaliana kuwa mna mawazo yanayofanana?
Ni sababu za kiutamaduni tu, hizo sababu za kiafya hazina mashiko!