Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

Kwanini ulichelewa kaka?, lakini poa we nenda bana katoe koti la babu maana nikiona watoto wadogo ambao hawajatolewa hiyo kitu jinsi mdude unavyokua sipati picha kwa kijana wa 19 yrs ambaye mdude umeshakomaa na mkubwa nahisi unatisha sana.

nenda hospitali baada ya kutolewa uulize na hayo maswali yotee, utapata majibu sahihi, hapa unaweza ambiwa tu ilimradi tu kajibu , wengine hawajui kitu walitolewa wangali bado wadogo sana. Ukishatoa tafuta mke mtarajiwa.
Amechelewa kutairiwa ili kukwepa kibamia!
 
Kibamia kinatokana na kutahiri mapema.
Thanks wazazi wa Dar naona mnazalisha vibamia kila siku
 
Mwanamke wa Kwanzaa utakae fanya tendo la ndoa utamganda kutokana na utamu utakaousikia!
 
Back
Top Bottom