Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikua wap mda wotee
Nenda tu kijana.. atakayelikata atakupa ushauri mzuri sana... umefanya uamuz mzuri sana
Swala si Kuchelewa.. Wote hatuna Maisha Yanayolingana na Wla Hatuishi familia Moja kwahiyo Kumlaumu mtu unaonekana We si Great Thinker.....
Mi ningekushauri ingawa nilifanyiwa Utotoni... ukubwani kunaweza kukawa na Complications kidogo ingawa hujachelewa kuna watu mpka anaenda kuoa hajakatwa... nenda sehemu inayohusika utapata ushauri Zaidi
Mkuu wewe ndiyo uko kama mimi, naumiss sana mfuniko wangu, hapa chupi zilishakomaza kichwa cha mashine kimeshakuwa cheusi kama ngozi ya goti, yaani utamu mpaka kuusklizia sana, masaa mawili unatafuta bao!
Jamani habari zenu,
Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital.
Ttzo ktk umri huo itachukua Muda kdg kupona sababu ya pipe kusimama nyakati Za asbh nk
Ukikatwa ukidindisha tu unaanza tena upya donda linakuwa vilevile so jiandae kwa hilo
Wewe na huyo mwenzio mnatakiwa kurudi porini mkaishi na nyani maana inaonekana bado mpo kwenye evolution stages bado hamjawa binadam kamili kama sisi
Jamani habari zenu,
Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital.