mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kijana utakufa ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechelewa kutairiwa ili kukwepa kibamia!Kwanini ulichelewa kaka?, lakini poa we nenda bana katoe koti la babu maana nikiona watoto wadogo ambao hawajatolewa hiyo kitu jinsi mdude unavyokua sipati picha kwa kijana wa 19 yrs ambaye mdude umeshakomaa na mkubwa nahisi unatisha sana.
nenda hospitali baada ya kutolewa uulize na hayo maswali yotee, utapata majibu sahihi, hapa unaweza ambiwa tu ilimradi tu kajibu , wengine hawajui kitu walitolewa wangali bado wadogo sana. Ukishatoa tafuta mke mtarajiwa.