Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?


Ni sababu za kiutamaduni tu, hizo sababu za kiafya hazina mashiko!
 
Kwa nini umeweka tetesi? Kutahiri ukubwani madhila utakayo kuwa unayapata ni mishipa ikisimama kwa mihemko ya mwili, hivyo ukishatahiri kaa mbali na vishawishi vya ngono.
 
nilivyosoma hii post nusu nitapike,hv mtoto wa kiume miaka 19 bado hujakatwa,while it suppose to be done 18 or 17 years ago. well hukuwah kuwa na manzi b4 na wakakucheka?

Ukihesabu wanaume wote duniani waliotahiriwa hawafikii hata asilimia 40.

Nani anasema it should be done 18 or 70 ago?
 
ni vingi pamoja na hili, kwa mwanaume its shame hata yesu alitahiriwa akiwa katoto kadogo

What is shameful to you may not be the same to others.

Kwani Yesu ndo aliyeweka precedent ya kutahiriwa?

Ni wangapi kwanza wanamwamini Yesu?
 
Jamani habari zenu,

Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital
.


Nyie wahaya bwana mna matatizo, sasa mnakaa na hilo gozi/filimbi ili iweje? Anyways, baada ya kutahiriwa kama hakuna any complications utaweza pata nafuu baada ya wiki mbili hivi, ila baada ya mwezi ndipo utaweza kutomba kisawasawa bila filimbi yako ya utotoni na uta enjoy kinoma. Complications ninazozungumzia ni kule kutamani kutombana wakati haujapona kwani miaka uliyonayo ni ya hatari sana kwa sababu hata ukiona jogoo au bata wanatiana mtaani ama nyumbani kwenu, kinanihiii chako kinakupa shahuku ya kutamani kubaka na kunajisi wenzako. In short, uko hatarini. Natanguliza pole kwako.
 
nilikuwa shule ya msingi darasa la pili..nakumbuka ndani ya hiyo hiyo wiki nilianza kucheza mpira bado nina bandeji...
nina ndugu yangu yeye ni zaidi ya miaka ishirini,ana wiki tatu sasa lakini bado anadekadeka akidai kidonda hakijapona...

Hahahahaha, mtu mzima hakiponi haraka.
 
Yaani mdogo wangu husijaribu kufanya kitu hicho. Acha kabisa. Mie niliahili ukubwani lkn najuta. Kwanza maumivu pili unaondoa utamu. Mi kama kuna huwezekano ningerudisha. Kama ni usafi utaoga. Usafi wa mwili haufanywii kwa kuondoa viungo. Ndio maana tunapiga mswaki kila siku na hatukati mdomo na kuacha meno nje eti usafi. We kata lkn utajuta kazi ya mungu haina kosa. Hutosikia tena joto lake. Acha kabisa mkuu.
 
Jambo la msingi sana nenda ukakate.

Mimi sijui kwa muda gani utapona sababu ni ukubwani ila nimefurahi kwa wewe kuchukua uamuzi huu utakapokuwa likizoni.

Hongera sana dhamira peke yake ni kama umeshakamilisha
 
Kwa nini unataka kutahiri? Mtu mzima unataka kujikeketa kwauoga wa kuchekwa na jamii?!!...acha hizo bana, kutahiri ni mambo ya kizamani.

Usimdanganye mwenzio, kutokutahiri ndio mambo ya kizamani.
Hakuna mwanamke anayependa kuona sura mbaya ya govi.
 
Wiki mbili ya tatu unachinja but inayopwelepweta sio bikra utaumia ohoo!
 
Usimdanganye mwenzio, kutokutahiri ndio mambo ya kizamani.
Hakuna mwanamke anayependa kuona sura mbaya ya govi.

Weeee!!! Inapendwa pochi, iliyotahiriwa itatafutwa kwingine.
 
sasa ulitaka utapke nn au una mimba ww!! mbona kuna tamaduni nyingi tu hawatahir kabisa!!!hata ulaya ambao hawajakatwa wapo kibao ingawa ndo wanaodhamin iz program za kutahir uku kwetu wakat wenyewe wengi hawafanyi

Ulaya mbali mkuu, aulize wakina otieno na akina onyango watampa jibu.
 
unafika chuo, kipindi uko secondary mpaka saivi hukupata awareness kuhusu umuhimu wa kutahiriwa kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…