Nataka kwenda kutahiri nina miaka 19. Je, nitapona baada ya muda gani?

ulikua wap mda wotee

Swala si Kuchelewa.. Wote hatuna Maisha Yanayolingana na Wla Hatuishi familia Moja kwahiyo Kumlaumu mtu unaonekana We si Great Thinker.....

Mi ningekushauri ingawa nilifanyiwa Utotoni... ukubwani kunaweza kukawa na Complications kidogo ingawa hujachelewa kuna watu mpka anaenda kuoa hajakatwa... nenda sehemu inayohusika utapata ushauri Zaidi
 

asante kaka
 
Mkuu wewe ndiyo uko kama mimi, naumiss sana mfuniko wangu, hapa chupi zilishakomaza kichwa cha mashine kimeshakuwa cheusi kama ngozi ya goti, yaani utamu mpaka kuusklizia sana, masaa mawili unatafuta bao!

Wewe na huyo mwenzio mnatakiwa kurudi porini mkaishi na nyani maana inaonekana bado mpo kwenye evolution stages bado hamjawa binadam kamili kama sisi
 
Jamani habari zenu,

Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital
.

Siku saba tu, unafungua bandeji uko fresh, vyakula kula mtori, supu, visiwe vya moto sana, juisi na matunda kwa wingi, na mboga za majani.

Karibu kiumeni, men.
 
Ukikatwa ukidindisha tu unaanza tena upya donda linakuwa vilevile so jiandae kwa hilo
 
Duh! Miaka 19 uko chuo mwaka wa kwanza! Chuo gani hicho? Anyway, kama vipi kakate, madem wengi wanasema ya kumenya tamu kuliko ya maganda.
 
Itakuchukua wiki 3 hadi 4,katika hali ya kawaida. Ikianza kudinda jipigepige na kitu mfano wa rula au jiwe kwny magoti au vifundo vy miguu,then ngoma itasinyaa. Ila usipende kuangalia movie zenye mahaba,pia jitahid kutulia om,punguza misele. La mwisho,usisubiri mkojo ukubane sana napia vaa pensi pana.
 
Wewe na huyo mwenzio mnatakiwa kurudi porini mkaishi na nyani maana inaonekana bado mpo kwenye evolution stages bado hamjawa binadam kamili kama sisi

Hahahaa, kweli kabisa unaamini katika revolution au unaropoka tu? Nijibu tuone utakavyopoteana sasa hivi!
 
Wanafunzi wa Udsm wengi wana mkono swetA.

Nenda kakate hilo alafu kingozi chako chukua kapikie ndizi matoke ule ndo utapona mapema
 
Kama huna magonjwa yoyote na una afya njema na huna tatizo la kudindisha mara kwa mara just one week is enough for you.
 
Jamani habari zenu,

Mi mwanaume now nipo chuo mwaka wa kwanza , sasa nataka kwenda kutahiri likizo hii naomben ,mawazo na ushaur, alafu je, nitakaa muda ganu mpaka kupona? nijitunzaje nikapotahiri na vinginevyo vinavyohusiana na tohara ya hospital
.

Pole, mi uzembe uzembe nikitahiriwa nikiwa mwaka wa 2, ni uzembe wa wazee! In 2 weeks I was okay, ila sijui technoljia ikoje now, kipindi kile nilishauriwa nisitumie nyuzi za kutoa.... Jioni kwa kweli na alfajiri ilikuwa Ni Tabu sana kwa kweli..... Usiku Shuka, au ukijisahau, itakuwa Tabu but it will last in two weeks hopeful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…