Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba.

Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao
PUNDA
MIZANI
MBUZI
KAA

Au wenye herufi
A. M. Y. G. S. J. V. D. P

Au waliozaliwa tarehe:
1. 13. 25. 7. 19. 10. 22. 4. 16. 28.

2. Nataka mwanaume mcheshi, anayejieshimu, asiwe MUHUNI. Apendwe KWA tabia zake. Awe muaminifu. Awe anapendeza anajipenda. Hata kitandani awe vizuri kabisa. Kazi yoyote ilimradi rizki inapatikana. Hata akiwa yupo nyumbani ILA ANAMPANGO wa pesa. Hata chini tutalala.

Wanawake wenye Nyota
NG'OMBE
NG'E
MAPACHA
MSHALE

Au wenye herufi
B. N. Z. H. T. C. O. I. U.

Au waliozaliwa tarehe
2. 14. 26. 8. 20. 3. 15. 9. 21. 29.

3. Mimi nampenda sana mwanaume aliejiwekeza. Au awe na malengo makubwa. Ila nikimpata na mimi nitapambana humo humo na mimi nipate changu. Maana huko mbele akibadika na mimi nina cha kuegemea.

KWANZA mwanaume sio wa kumuamini. Bora ujenge kwasiri siri asijue Ili akikufukuza ujue ajakutumia bure.
Watu wanatuonaga tukipata WANAUME wenye hela na sisi tunajipambania hata kama mume ni mbunge. Tunaogopa kutoka patupu.

Wanawake wenye herufi
SAMAKI
MASHUKE
NDOO
SIMBA

Au wenye herufi
L. X. F. R. K. W. E. Q.

Au waliozaliwa tarehe
12. 24. 6. 18. 11. 23. 5. 17. 30.

By magical power
Huyo utamkuta ahera
 
Back
Top Bottom