Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

Kwakua wote ni ma Artist, waigizaji matata, hapo pambano litakua droo maana kila mmoja atapandikiza mamluki kwenye kundi la wenzie ambao watadondoka na kuanza kutoa shuhuda za uongo
Haha haha hah
 
Naomba niwe refa.
 
Hilo pambano liko kichwani mwako tayari linaendelea, na mshindi ulishamjua maana ulimbeba wewe mwenyewe kama refa. Usinichoshe!😕
 
Hautaweza.
 
Naahidi kua shabiki wa Bibi,
sitamuangusha.
Karibu Sana,,, Bibi kipaji chake level nyingine kabisa.... Kuna mwamba alijifanya kwenda kumkamata eti anapigwa ramli!!! Wako njiani mitambo ikasoma akasema subiri nimkomeshe huyu mtoto kahamishiwa hapa harafu anacheza na wenye mji wao. Mwamba kila akiendesha gari nyumba anaiona ile wakishuka wanashuka kituo cha polisi
 
Hamna mambo ya Mungu, kuna mambo ya rohoni. Hawa mabingwa wa ulimwengu wa rohoni nataka washindane hadharani. Maana wanayoyafanya kwenye ulimwengu wa roho yanadhihirika kwenye ulimwengu wa mwili (ulimwengu wandamu na nyama)
Huwezi kumshindanisha Mungu na viumbe vyake.
 
Taarifa zitoke mapema tulete wadhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…