Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

Kama wewe ni msomaji wa Biblia mapambano ya hivyo yalishafanyika.
1. Musa na Haruni VS Janess na Jembres (wale wachawi wa Farao) na Musa na Haruni walishinda
2. Elia VS wachawi wa Baali
Upande mmoja kulikuwa na wachawi na waganga 890 na upande mmoja Nabii Elia na mechi iliishakwa Elia nabii wa Mungu kuibuka kidedea
3. Daniel VS wachawi wa Babeli
Mfalme aliota ndoto na akaisahau akawaita wachawi na waganga wake wote na kuwaambia kwanza wamkumbushe ndoto alafu wamuambie tafsiri yake wakashindwa akaletwa Daniel akamkumbusha ndoto na kumpa tafsiri sahihi
4. Yusufu VS Wachawi wa Misri
Farao aliota ndoto na ikamsumbua akawaita wachawi wote Misri na kuwaambia wamuambie maanana tafsiri ya ndoto ile na wakashindwa lakini Yusufu akaletwa kutoka gerezani na kutafsiri ile ndoto kisha kutoa solution ya nini kifanyike
 
Historia ina utamaduni wa kujirudia
 
Wasiwasi wangu ngoma itakua droo uko unapoenda kujaribu, msione makanisa , manabii na mitume sio wote ila kuna mambo huko mazito , unamkuta jamaa ana lipete lake la upako uchwara kutoka Nigeria ,patachimbika
 
Wasiwasi wangu ngoma itakua droo uko unapoenda kujaribu, msione makanisa , manabii na mitume sio wote ila kuna mambo huko mazito , unamkuta jamaa ana lipete lake la upako uchwara kutoka Nigeria ,patachimbika
Hatari sana
 
hakuna mganga atakubali
 
hakuna mtu wa Mungu anayetuma moto au dua yeyeto ikamuharibu binadamu awe jini au roho
mtu wa Mungu hutumia upendo kumbadilisha mtu .
 
l
WALOKOLE HAWATAKUJA UWANJANI
upendo ni silaha ya kila mtu tukiwa na upendo mlokole atajua kuwa mganga anafanya kazi yake ya giza amuache yeye afanye kazi ya nuru akianza kufanya kazi ya giza kupambana kurusha moto maana naye kaingia gizani .ila akilmba MUNGU awabadilishe nao wawe katika nuru hayo ndio maombi yake asizidishe zaid ya hapo anapoomba maana ataanza kuweka ubinadamu ....God is Light and darkness
 
ACha ngonjera hamna nguvu hvo bal n mabngwa wa maigzo
 
Kila wakati wanapambana ila huoni tu
 
ACha ngonjera hamna nguvu hvo bal n mabngwa wa maigzo
nguvu zipo tena zipo acha kuwa kipofu. nenda kwenye kilinge cha mganga wa kienyeji ukojolee uone ? .... ila kuna nguvu kubwa kuliko nguvu zote nayo ni nguvu ya JEHOVAH GOD wewe unafikirii kipindi kile cha misri waliamini yupo Mungu mpaka alipofanya makubwa ndio waliona wakafunguka macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…