Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

Walokole ndio waganga na waganga ndio walokole stuka
 
Hao wachawi,waganga waje uwanjani wapambane na ma pastor, mapadre ,maaskofu ili baada ya matokeo ya wazi sisi raia tutaamua tumfuate nani maana matokeo yanaongea
 
Duh! Umejitahidi kuwaza mkuu,lkn mi nadhani mashindano yashaanza tayari,humu humu jf,hakuna haja yakuandaa sijui wapi au wapi,we mwenyewe utajionea maoni humu yatakavyo tiririshwa!!,mi huwa najiuliza shetani na mungu ni nani zaidi?najua mungu ndo zaidi,lkn utakuta maeneo hayo asilimia 90 shetani ndo azungumziwa zaidi,why!!!
 
Wote ni waganga wanaoganga njaa iliyoko tumboni na kichwani
 
Dini zote zinashindana nanshetani miaka nenda rudi na wamemshindwa
 
Utanitag mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…