KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #81
PoaUtanitag mkuu
alikuja kupanga karibu na eneo ambalo natafuta riziki ili afanyie shughuli zake za uganga hapo kilumana hakukaa na kusepaIlikuwaje?
hiyo vita hawawezi kukubali wanajua walichokitana nacho waganga wa enzi za EliyaUtanitag mkuu
Hawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na malinguvu zipo tena zipo acha kuwa kipofu. nenda kwenye kilinge cha mganga wa kienyeji ukojolee uone ? .... ila kuna nguvu kubwa kuliko nguvu zote nayo ni nguvu ya JEHOVAH GOD wewe unafikirii kipindi kile cha misri waliamini yupo Mungu mpaka alipofanya makubwa ndio waliona wakafunguka macho
Hawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na mali
ndio ni kweli wapo ma scammer ila tambua scammer anatumika na gIza kwa malengo ya giza japo wao hawajielewi na kuna wale ambao wanajijua kabisa ambaye ukidanganya anasema pita kwenye madhabau hapo ...kama unadanganya moto unakumeza kabisa ila vyote vinatumika na Mighty Mighty God iwe goods or badsHawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na mali
hata darknes nao wana nguvu kwa kuwa kila kitu kinafuata sheria moja the stronger will conquer the weakerhiyo vita hawawezi kukubali wanajua walichokitana nacho waganga wa enzi za Eliya
Eliya alishindana na wachawi,...bila kusahau Musa akiwa misri,...tena ilikuwa ni hadharani na watu wakabeti,...Mambo ya Mungu hayana mashindano
Dah 😃😃😃😃😃Utawaandaa vizuri tu alafu mwisho utagundua wote ni waganga
Kwenye hayo mapambano yote, walokole tutawaangusha kwa knockout raundi za awali kabisa! Hakuna cha faya, wala nini. Ni vichapo tu kwa kwenda mbele.Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Waliuliwa tena na watu wakawaida najiuliza kwanini hawakuruka kichawi!Kwani nabii eliya na wale miungu wa baali ilikuwaje..?
Walichinjwa na huyo nabii eliya..Sasa swali linakuja..Kwanini manabii hawataki battle na waganga na wachawi ikiwa mganga ametangaza battle na hakuna aliejitokezaWaliuliwa tena na watu wakawaida najiuliza kwanini hawakuruka kichawi!
Ndio ufikirie zaidi halafu usitapeliwe kizembe.Hii comment imefikirisha na kunichekesha kwa wakati mmoja.
Mimi nataka nione Hilo pambano litakwendaje yaaanihiyo vita hawawezi kukubali wanajua walichokitana nacho waganga wa enzi za Eliya
Ni nguvu za MUNGU watu mia 4 unazani hapa?Walichinjwa na huyo nabii eliya..Sasa swali linakuja..Kwanini manabii hawataki battle na waganga na wachawi ikiwa mganga ametangaza battle na hakuna aliejitokeza