Inategemea na kichwa chako mimi nimeanza pombe nikiwa Secondary tena kwa siri haswa hakuna mtu mtaani anajua kuwa natupia Pombe, Nilikuwa nakunywa viroba kipindi hicho Siku tungi likizidi naenda mbali na home nalala uko uko kwa washikaji tu, Nilivoingia chuo ndo nkapata ka uhuru ka kupiga beer sio kuwa home walikuwa strictly hapana basi tu nilikuwa naaminika na kuheshimika ivo nilivo safiri kuwa mbali niliweza ata kukaa walau bar na kushusha vitu mana nilikuwa mkoa mbali na home, Pombe haikuwahi kunitawala na haitakuja kunitawala niliinywa kistarabu haswa wakati wa matukio ya chuoni muda wa chuo nilitumia pombe karibu aina zote kuanzia whiskey,wine,Vodka,Cider, Gin na Sprit siku nikiwa na mawe basi ni beer na favourite ilikuwa Safari beer siku nimechacha ni Sprit siku nikiwa na kampani na wazungu mana nimesoma Arusha basi napiga Vodka au Whisky haswa Grants na Smirnoff X1, Mpaka hivi ninavyongea mzee wangu tangu mimi ni mdogo mpaka now mimi nipo kazini mzee wangu anapiga pombe na home zipo tu ila mpaka leo hajui kuwa natumie kilevi iko hata nikiwa nae maeneo napiga Soda tu au maji then na cool, Pombe imenisaidia mengi ikiwemo confidence nakufanya maamuzi Magumu ambayo huleta faida kubwa kwangu naitumia very moderate na sijataka kabisa iniendeshe hata kidogo kiafya huwa napiga Red wine baada ya msosi haswa dinner ili kuruhusu digestion iende njema, Nikiwa na wana viwanja basi mimi Now Beer yangu the Finest ni SERENGETI LAGER