Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Anatoa mimba uko kwenye ndoa,mkuu unashindwa nini kwenda kufungua kesi ya mauaji,na hapo ndo pakushikilia mpaka unamuacha huyo mwanamke, mi roho yangu mungu ndo anajua mwenyewe,maamuzi yangu ni magumu sana,

Achana naye
 
Kweli Mkuu, Dharau ni sumu katika mahusiano
 
NI kabila gani?
 
Exactly.Wanawake ni changamoto saana kwenye mahusiano
 
Du nisingependa kusema kabila....but ni kutoka kanda za juu kusini!

KKama uliyoongea yote ni kweli basi kazi unayo. Nashauri ujarinbu kupeleka kesi yako kwa watumishi wa Mungu. Haya mambo muda mwingi, kama siyo wote, yanakuwaga ni Spritual, ila sasa sisi kwa sababu tumepita pita madarasani kidogo, inafikia hatua hadi tunasahau hilo. Madaktari wa mambo haya wako kwenye nyumba za Ibada, na wa mwili wako wao ndiyo wako Hospitalini. Peleka issue kwenye hospitali sahahi naamini utapata ufumbuzi!
 
Kwa haraka haraka inaonyesha huyo dada (mke) kakuzidi kipato...Mwanamke anapojua kakuzidi kipato huwa wengi wao dharau haziishi. Alafu pia wewe umekuwa weak sana kwenye mauhusiano yenu baada ya kuzidiwa kipato.

Mkuu nakushauri Songa mbele na maisha achana na hiyo taka taka inayo jisingizia kuwa mke...kwanza kasha tomb** nje ...Hawezi kukuheshimu..Pili anapewa kiburi na ndugu zake maana wanaona wewe hauna uwezo so hakuna wa kuside upande wako hata kama utakuwa sahihi kuliko malaika.

Hapo shida kubwa ni pesa brother....Yaani mwanamke anakujibu eti acha nitamlipia mwenyewe...Aisee angekuwa karibu yangu ningempa kelbu moja ya kufa mtu
 
Pole ndugu, hamjaumbiwa mateso. Ila kuna wanawake visebengo sana
 
Yaani ana mtoto mmoja tu anakuhangaisha namna hiyo analipa benk bila kukujulisha hatari sana ila ujue hapo kuna jamaa anakula mzigo ,muite mshenga, na mzee wa kanisa, na ndugu yake mmoja basi mkae pamoja naamini mtasikia mwafaka
 


Kimsingi asiwe mwoga kufanya maamuzi sahihi bila kujali kama ni sahihi au lah!. Mbele kwa mbeleee.

Ukute huyo the so called mdogo wake ni mume mwenzake.
 
Na nyie mnaheshimu wake zenu au mnataka Kuwa Mungu mtu. Wanaume wa siku hizi hamujielewi kabisa ujue. Kila siku kulia lia mkiona mke kawazidi hata elimu mnaanza kuji feel inferior na kulaumu. Unataka good package wakati package yako mbovu tu

Ungeweka mada yako ya "mume kumuheshime mke" tungejadili vizuri. Tuwe tunatumia elimu yetu "iliyozidi" kusoma na kuielewa mada kuu kwanza kabla ya kuzijibu "comments" za wachangiaji.
 
Mie nimejibu kulingana na comments ya niliye mu quote mkuu. Nyie wanaume ni vinara wakujiliza hamuheshimiwi, sasa ka nyie hamujielewi mnataka nani awaheshimu sasa
Ungeweka mada yako ya "mume kumuheshime mke" tungejadili vizuri. Tuwe tunatumia elimu yetu "iliyozidi" kusoma na kuielewa mada kuu kwanza kabla ya kuzijibu "comments" za wachangiaji.
 
Asikuzingue MPE talaka yake uishi kwa amani mbona mademu wapo tele
 
Mie nimejibu kulingana na comments ya niliye mu quote mkuu. Nyie wanaume ni vinara wakujiliza hamuheshimiwi, sasa ka nyie hamujielewi mnataka nani awaheshimu sasa

Nadhani unafahamu maana ya "comments", inatokana na "thread" iliyoanzishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…