Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Mateso unajitakia mwenyewe, na utateseka kweli ,hivi kweli mpaka saa saba unamfumania mke wako anaongea na mwanaume kama wewe na bado upo nae ,eti mpaka harudi tena huite na Ndugu ndiyo umuache du!!,hiyo mbona hitakuwa ngumu sema wewe unataka usuluhishi tu siyo kuachana,Ndugu yangu yani wewe utaendelea kugongewa tu mpaka ndani kwako,Fanya maamuzi yako binafsi ya kiume
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Ahaa!!!,kweli kabisa
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Hayo matabia wanayaiga wapi sijui.Mwanamke anajiona ana nguvuuuu,kama zote lazima akulambishe kisimi.
 
Pole Sana
 
Shoka la utozi baba
 
Namkumbuka jamaa yangu huwa ananihusia sanaa.

"Mke mwema mke mwema mke mwema mke mwema mke mwema mke mwema".

"Muombe sana mungu akupe mke mwema ndugu yangu,akupe mke mwema mke mwema,ndugu yangu bado hujaoa lakini hakikisha unatulia sana katika kutafuta mke,muombe mungu akupe mke mwema."

"Ndugu yangu ukikosea kuoa utakuwa umeharibu mfumo wako wote wa maisha,na ukipatia utakuwa umeuset vizur mfumo wako wa maisha,ndugu yangu sifa ya kwanza ambayo ni kubwa kabisa ya mke mwema ni kuwa mtiifu kwa mumewe,akiwa anakutii na anakuheshimu mambo mengine mtavumiliana tu"

"Ndugu mke ni mtu ambaye ataenda kukulea watoto wako,na asilimia kubwa ya tabia za watoto wanakopi kutoka kwa wazee,haswa mama ndo mda mwingi huwa yupo na watoto nyumbani."

"kama mama akiwa mpenda viduku,na watoto watakuwa kividuku viduku,mama akiwa mpenda singeli,na watoto watakuwa kisingeli singeli,kama mama atakuwa kiburi na jeuri kwa watu,na watoto watakuwa kijeuri jeuri,kama mama atakuwa an khofu na mungu,watoto atawalea kiimani imani,kama mama atakua mwema,na watoto watalelewa kiwema wema na huruma huruma."

Pole sana kaka,yapo mambo ya kuvumilika katika ndoa lakini siyo kwa point hiyo mlofikia,alafu katoto ni kamoja tu,bado hamjawa na familia kubwa,unaweza fanya maamuzi magumu,hivyo hata ukiwaambia ndugu zako nyumbani hawawezi kuvumilia kuona nduguyao unaumizwa kiasi hicho.

Huwa namuomba sana mungu anipe mke mwema,manake mke mwema huwa anatoka kwake tu.
 
Mimi ni mwanamke ila km usemayo kweli muache asije kukuletea ngoma bure.
Huyo kashindikana na familia yake nao wajinga kutetea uovu wa mtoto wao!
Ndio watu wa Mbeya walivyo, ukijitia kulalamika ukoo mzima unakugeukia halafu matoto yao ndio huwa viburi wa kutupa! Kuna limoja limeachika Toronto mapema mwaka huu. Mchizi amerudi bongo kuoa upya kamuachia yule mpuuzi watoto wawili.
 
Wanaoharibu ndoa yako ni ndugu wa mke,pia mke wako hajakomaa kiakili zaidi ya kuwa na umbo la kiutu uzima;maamuzi piga chini,pambana na mtoto wako.
 
Hawa wanashida moja kubwa inawasumbua, ambayo ni ubinafsi, ukiwa na ubinafsi huwezi kuisho na kudumu kwenye mahusiano yoyote yale....
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Mkuu hapo kwenye kupiga magoti nakuunga mkono. Mwanaume unapiga magoti kumvisha Pete ya uchumba!
 
Muda wote kwanini msikae na wakubwa mkaongea....?
Kwanza ijulikane kuwa si muumini wa vikao vya kukusanya watu kwenye ndoa yangu...lakini hata hivyo nilijaribu kuita wawili watatu kujadili alikili na kuomba radhi...tatizo linakuja akitoka kwenye kikao akawasimulia ndugu zake anapata semina mpya na kurudi kule kule hapo naona tunapotezeana muda!
 
Hawa viumbe Ni balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…