Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
 
Mwanao unaona kabisa tabia inabadilika na ana wasiwasi, kwanini usikae nae kama baba na mtoto au man to man na kumsaidia yanayomsibu?

Hakuna kitu usichokijua kama mtu mzima Aidha ulifanya ujana wako au umesikia.

Hakuna kipya katika dunia hii ila kama mzazi ni lazima umsaidie.

Kwani huwa hamuwafundishi mabadiliko ya mwili jinsi wanavyokuwa au mnawaacha dunia iwafunze in a hard way?

Kama ni shoga hilo ni tatizo kubwa ila kama ana mengine basi ni mabadiliko ya kuwa kijana sasa
 
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Mfano ukamuona akijichua then what?
 
Yupo FOOLISH AGE Huyo, hapo hormone zinachochea, nadani hii stage kila mtu kapitia
 
Back
Top Bottom