Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Umezingua kumnunulia simu, bado ni mdogo sana huyo
Chizi ww🤣🤣DNA haiongopi, Like father like son period 🤗
kuna ndugu yangu mmoja alikuwa tiss huko, kijana wake mmoja akaanza usharobaro, mara anasuka nywele, mara vikaputura kama juma lokole, mara anaoga sana, akaona dogo kama hamwelewi kama akawa na mashaka asijekuwa upinde. alimwita, kamkalisha kamweleza tabia zake ambazo hazielewi,dogo alikataa, ila mjeda yule alimweleza kwamba kama mimi nimekuelewa sio, hamna shida, nisamehe. ila kama kweli wewe umeanza kujiingiza kwenye ujinga, unanifahamu kazi yangu,nitakupiga risasi, nitakwenda kukutupa kusikojulikana hata hakuna atakayejua umeenda wapi maisha yote.sijawahi kutoa mbegu ya kijinga mimi.Mwanao unaona kabisa tabia inabadilika na ana wasiwasi, kwanini usikae nae kama baba na mtoto au man to man na kumsaidia yanayomsibu?
Hakuna kitu usichokijua kama mtu mzima Aidha ulifanya ujana wako au umesikia.
Hakuna kipya katika dunia hii ila kama mzazi ni lazima umsaidie.
Kwani huwa hamuwafundishi mabadiliko ya mwili jinsi wanavyokuwa au mnawaacha dunia iwafunze in a hard way?
Kama ni shoga hilo ni tatizo kubwa ila kama ana ni mengine basi ni mabadiliko ya kuwa kijana sasa
Ohh 😆😆😆maembe hayanguki mbali mzee,kuwa yaangukie kwenye mti wa mnazi ? No kamwe haiwezekani😆😆😆,Chizi ww🤣🤣
Itumie gmail yake kwenye simu yakolakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Itumie gmail yake kwenye simu yako
Uangalie Search history
Maombi ni kupoteza muda, ampeleke JKT, ndani ya kambi hakuna siri kila kitu kimenyooka.Acha kupoteza mda wewe mpeleke kwenye maombi huyo
Chukua simu yake weka app ya airdroid parental control utaona kila kitu anachofanyaNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Sikia,sisi sote tuna watoto nakushauri yafuatayo:Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Be a father.Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Inawezekana ameshachelewa sana.Sikia,sisi sote tuna watoto nakushauri yafuatayo:
1.mfanye awe rafiki yako ili uwe unaongea nae kila kitu.
2.Sasa anza harakati za kumfanya rafiki