Kweli, ingawa mi sijasema najua anachoficha naona ww ushaconfirmYaani mtoto wako unamuomba simu anakataa na Yuko ndani ya himaya yako?????
Ila nyie wazazi wengine mbona mmelegeza kamba Sana?
Mwanangu nitaacha kumuamrisha akijitegemea ila akiwa kwangu hata awe na 30's amri Ni moja tu!!
Nb: Namuombea mwanao katika mabadikiko hayo U shoga usihusike!
Hiyo Ni nyumba yako weka camera Bora ulijue tatizo mapema unaweza kulidhibiti!
Mfatilie tu muda ndo huu 17 Si Haba balehe inaanza kupamba motoKweli, ingawa mi sijasema najua anachoficha naona ww ushaconfirm
Hapo kwenye simu hakikisha unaisajili kwa email na Google account yako, itakusaidia kujua kila kitu anachofanya, kama Ana search nudes au la unajua kirahisiNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Unapata wapi ujasiri na uhalali wa kumchungulia mtu mzima chumbani mwake?!Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Ni muhimu sana kukaa na kuongea nae, kosa ulilolifanya ni kumpa simuNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Baba umepoteaNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Simu haiepukiki kwa Sasa, ila umakini unahitajika Zaid, maongezi huru ndio silaha kuu kwa umri huo wa baleheNi muhimu sana kukaa na kuongea nae, kosa ulilolifanya ni kumpa simu
SawaSimu haiepukiki kwa Sasa, ila umakini unahitajika Zaid, maongezi huru ndio silaha kuu kwa umri huo wa balehe