Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Zabua Kofi 😈
Ukute na yeye alipitia hivyo hivyo😅Huwez kupingana na nature
😅😅Kamera achana nayo,inaweza kuonesha vitu mpaka ukazirai ukafa tukala pilau
Funga camera haraka sana, alternative mlengeshee kademu uone kama anaweza, be careful zingatia camera kwanza ndio muhimuNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Hack namba yakeNina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Umetoa ushauri kama baba, Hongera mkuu.Mwanao unaona kabisa tabia inabadilika na ana wasiwasi, kwanini usikae nae kama baba na mtoto au man to man na kumsaidia yanayomsibu?
Hakuna kitu usichokijua kama mtu mzima Aidha ulifanya ujana wako au umesikia.
Hakuna kipya katika dunia hii ila kama mzazi ni lazima umsaidie.
Kwani huwa hamuwafundishi mabadiliko ya mwili jinsi wanavyokuwa au mnawaacha dunia iwafunze in a hard way?
Kama ni shoga hilo ni tatizo kubwa ila kama ana mengine basi ni mabadiliko ya kuwa kijana sasa
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.
Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.
Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.
Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote
Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Simu umemnunulia wewe, unaitaka halafu anakukatalia, na wewe unajiita mzazi 🤣Unataka simu halafu anakataa 🤔
Wazazi wa zama hizi sijui ni dizaini gani hii, kama vile madishi mabovu
Mzazi wa ovyoS
Simu umemnunulia wewe, unaitaka halafu anakukatalia, na wewe unajiita mzazi 🤣
NashangaaUnataka simu halafu anakataa 🤔