Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Wewe una hofu gani kwa kijana wako na je ni jinsia gani
 
Yaani mtoto wako unamuomba simu anakataa na Yuko ndani ya himaya yako?????
Ila nyie wazazi wengine mbona mmelegeza kamba Sana?
Mwanangu nitaacha kumuamrisha akijitegemea ila akiwa kwangu hata awe na 30's amri Ni moja tu!!
Nb: Namuombea mwanao katika mabadikiko hayo U shoga usihusike!
Hiyo Ni nyumba yako weka camera Bora ulijue tatizo mapema unaweza kulidhibiti!
 
We ulifungiwa mkuu HESHIMU faragha ya MWANAO mkuu. Buni njia nyingine ATA kosa amani. unashanga ukiwepo nyumbani mtoto Hana furaha ukitoka wanachangamka kumbe una wanyima amani. Wanatamani UWE unasafiri

Bro Alex on da beats
 
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki.Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Anaangalia x video na kujichukulia Sheria mkononi
 
Lazima atakuwa ashaanza kujihusisha na mambo yanayohusiana na ngono. Kuwa makini asije akazama, kipindi chetu sisi umri kama huo ushapitia mengi.
 
Back
Top Bottom