Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Mnyanganye Simu Mkuu , atakuwa anatumia Simu kutongoza wanawake na kujichua na kuangalia X

Watoto wa kimasikini hawafai kupewa luxury stuffs like Good device n.k

Mimi mdogo wangu Ana 16 yrs Ila anaingia university this year na hatujamnunulia simu

Isipokuwa Ana Email
Anamiliki IG account ya biashara
Anamililiki Facebook ya biashara pia.
 
Mpe kazi za kufanya achoshe mwili na mengine yatajipeleka yenyewe. Vingine simamia ubaba wako tuu. Mambo ya kamera achananayo tuu nduguyangu
 
Mtoto wangu wa kwanza ana miaka zaidi ya 30.
Wengine wamemfuata pia
Mtoto akifikia umri wa miaka 7 na kuendelea, unaanza kumfundisha dunia inavyokwenda na matatizo yaliopo ndani yake.

Akifika balehe anakuwa amejua mabaya na mema pia
Nini ajikinge nayo na nini afanye.

Watoto lazima uwe karibu nao kila wakati na kujua mienendo yao
Kama ni msichana ni jukumu la Mama yake kumfunda huku wewe ukiwa mwangalizi Mkuu.

Mungu awaongoze kwenye njia nzuri
Heshima yako mzee wangu
 
Mnyanganye Simu Mkuu , atakuwa anatumia Simu kutongoza wanawake na kujichua na kuangalia X

Watoto wa kimasikini hawafai kupewa luxury stuffs like Good device n.k

Mimi mdogo wangu Ana 16 yrs Ila anaingia university this year na hatujamnunulia simu

Isipokuwa Ana Email
Anamiliki IG account ya biashara
Anamililiki Facebook ya biashara pia.
Sasa hizo acc zote anaingia kwa kutumia nn
 
Unataka dogo aruke stage!!

Maendeleo yake shuleni ndiyo yanatoa picha kamili zaidi ya huko kujishtukia.
 
Umeshagundua kitu, kaa naye chini umweleze nyeusi na nyeupe, mpe madhara ya kufanya hicho unachofikiri ameanza kufanya, msaidie ajue madhara ya kutumia simu vibaya. Usisahau kumweleza madhara ya kiroho na uhusiano wake na Mungu.
 
Mkuu unaingia gharama bila sababu wakati hiyo issue ni ndogo .

Fanya hivi.

Tazama mwenendo wake kabla haujampa simu na ulipompatia simu !

Tazama uso wake ukiona unapoteza Nuru - fahamu anajichua Sana Ku pita kiasi .

Ukiweza kujichua Kila siku utakonda , utapoteza focus , utapoteza Nuru ,uchovu n.k

Akiwa ana hizo dalili fahamu tu anapiga Sana Sabuni .

Kwanini hakupi simu
Mahusino
Kuweka video za ngono


Nini ufanye mnyanganye simu na uwe Una andaa chakula ambacho kinalunguza hashiki za ngono ndo muwe mnapika


Pia ongea nae friendly


Kununua camera ni kuharibu pesa
 
Back
Top Bottom