Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Simple fanya ambush kwenye simu ww ghafla tu sema naomba simu ....pita gallery angalia picha na videos,kagua browsing history ...angalia anachat na nani...ila ilikuta ka vpn jua tu mpiga nyeto tu......
 
Umetoa ushauri kama baba, Hongera mkuu.
Ukiwa kama mzazi kaa chini na mwanao, mpe ABC.
Usimfiche mtoto, mwambie yote ya msingi kumhusu, atakuheshimu na kukukumbuka kwa ukweli na uwazi wako kwake
Mtoto wangu wa kwanza ana miaka zaidi ya 30.
Wengine wamemfuata pia
Mtoto akifikia umri wa miaka 7 na kuendelea, unaanza kumfundisha dunia inavyokwenda na matatizo yaliopo ndani yake.

Akifika balehe anakuwa amejua mabaya na mema pia
Nini ajikinge nayo na nini afanye.

Watoto lazima uwe karibu nao kila wakati na kujua mienendo yao
Kama ni msichana ni jukumu la Mama yake kumfunda huku wewe ukiwa mwangalizi Mkuu.

Mungu awaongoze kwenye njia nzuri
 
MI NAFIKILI UNGEELEZA HATA HILO BADILIKO MOJA ILI TUJUE ANAKOELEKEA NA KMA ANAJICHUKULIA SHERIA MKONONI SAWA MAANA NDIO UMRI UWO

LAKIN KMA ANATABIA ZA KIKE WAKATI YE WAKIUME BAS JUHA USHOGA UNAMNYEMELEA HAPO
 
Hiyo invasive parental control.
Aggression ya hali ya juu.
Kosa lako kumpa hiyo simu bila kuweka parental guide.
Mtafutie vitabu, vijarida, video n.k vinavyo wafundisha vijana wa umri huo kuhusu miili yao na Nini Cha kufanya.
Au kama nyie wakristo nenda kanisani kaulizie mafunzo, huwa wanatoa seminar au mafundusho kwa vijana/watoto juu ya elimu ya vitu nilivyosema.
Au mpeleke hospital za serikali kuna watu wanatoa elimu ya uzazi kwa vijana wa balehe.
 
MI NAFIKILI UNGEELEZA HATA HILO BADILIKO MOJA ILI TUJUE ANAKOELEKEA NA KMA ANAJICHUKULIA SHERIA MKONONI SAWA MAANA NDIO UMRI UWO

LAKIN KMA ANATABIA ZA KIKE WAKATI YE WAKIUME BAS JUHA USHOGA UNAMNYEMELEA HAPO
Nahisi kuna anaweza kua anaangalia porn na kujichua……
Hana dalili yyte ya ushoga! Wala mahusiano na yyte
 
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Itakuwa akina P-DIDY wameanza KUMKULA!!
 
Kama hana demu msaidie mfungue macho afanyaje aweze kutombana kwa njia salama na madem wa mtaa.

Yupo dakika za jioni hapo, Asipotia atatiwa yeye forever!
 
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Mambo ya familia usituletee humu una unatakiwa uyamaloze kama mwanaume,,MUNGU ALIKUUMBA UONGOZE FAMILIA?
 
Nahisi kuna anaweza kua anaangalia porn na kujichua……
Hana dalili yyte ya ushoga! Wala mahusiano na yyte
Kma ni ivyo mkuu uwezi kumfanya haache hiyo tabia hapo dawa ni kumvizia cku ya jmoc asubuhi pola simu yake ikague uzuri ukikuta mambo ya porn bac ongea nae kiumee kabsa

Maana akishaangalia porn na kujichua sasa ataingia kwenye madem hapo ndio shida kwa dunia yao mchane kiume sio ugomvi
 
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.

Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.

Muda mwingi pia yuko na simu (nilimnunulia ya kumsaidia mawasiliano na kusoma) lakini nikitaka nione anavyosearch na kusoma anaktaaa na kuficha simu.

Pia mara kadhaa naamka namkuta katika hali ambazo nazitilia mashaka kifupi simuelewi kabisa.

Kuna vitu anaficha ukimuuliza anapatwa na kigugumizi au anajibu majibu hayaeleweki. Nashindwa kumsoma vizuri kwasababu naondoka asubuhi narud jioni. Nayy anatumia muda huo kufanya anavyotaka.

Nimepata wazo nifunge kamera kote nichunguze mienendo yake bila yy kujua maana ni mtundu anaweza ziharibu zote

Ni sawa au parental control itakua imeenda too far
Huo ni unyanyasaji wa kijinsia.
Usimchunguze kijana hadi akataka kujiua.
Wewe ongea naye madgara ya simu, pornography , na ndiyo inamsumbua.
 
Acha kupoteza mda wewe mpeleke kwenye maombi huyo
Wazazi wa sikuhizi,zamani mama au baba akikumata n away wa uneme utaongea tu watubwako form six na wanapigwa sembuse form 4
Weee ni kichapo tu
 
Yaani baba kijana wako hataki uone simu yake?? Wewe ni baba kweli?, anaishi kwake au anaishi kwako?, huyo ni bakora tu....Hadi atakapo Toka kwako kwenda kujitegemea. Hapo yupo under control Yako....kwanini umpe uhuru kiasi Cha kukukatalia kutizama simu uliyomnunulia. Malezi Gani haya..hata kama unarudi jioni
 
Back
Top Bottom