Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..?

2000/= kwangu inanitosha kabisa.
Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidia

Tafuta mtaji wa M5 sio 7
Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.
Chanzo: UTT
 

Attachments

Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Sure aweke kama mil 7 na viushee kidogo, ingawa monthly kupata inaanza from 10 million, hiyo product ya daily faida UTT kupewa haipo. Ukitaka nunua cryptocurrency then uza ila uwe very speculative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…