Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..?
2000/= kwangu inanitosha kabisa.
2000/= kwangu inanitosha kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulainiWakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..?
2000/= kwangu inanitosha kabisa.
Nasikia kuna kitu kinaitwa FIC ni kitu gani hiki?Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Eeeh kumbe parefu kidogo😁Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Umekisikia wapi..?Nasikia kuna kitu kinaitwa FIC ni kitu gani hiki?
😀😀😀😀 unafanya masihara na 2000 kwa siku eehEeeh kumbe parefu kidogo😁
Hii siifahamu kaka, labda waje wataalamu zaidiNasikia kuna kitu kinaitwa FIC ni kitu gani hiki?
Eeeh,,, kweli mkuu, 2000 ni nyingitena kuipata Huku umenyoosha Miguu tu si kitoto😀😀😀😀 unafanya masihara na 2000 kwa siku eeh
Ngoja waje wanao ijua maana mimi mwenyewe nimeisikia juu juu hata sijui inafanyaje kaziHii siifahamu kaka, labda waje wataalamu zaidi
Achana na huo upuuziNasikia kuna kitu kinaitwa FIC ni kitu gani hiki?
Million 7 kwa 2k kwangu hapanaWeka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Kwanini mkuuAchana na huo upuuzi
Wekeza huko afu ukilizwa ndio utapata jibu sahihiKwanini mkuu
Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..?
2000/= kwangu inanitosha kabisa.
- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidiaWeka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.Kwa mfano, Mfuko wa Jikimu umekuwa ukitoa gawio la asilimia 3% hadi 4% kila baada ya miezi mitatu, ambayo ni sawa na asilimia 12% hadi 16% kwa mwaka.
Ili kupata faida ya Tsh 2,000 kwa siku, unahitaji mapato ya Tsh 730,000 kwa mwaka (Tsh 2,000 x 365 siku). Kama tunakadiria kiwango cha juu cha faida cha asilimia 16% kwa mwaka, utahitaji kuwekeza kiasi cha takriban Tsh 4,562,500 (Tsh 730,000 ÷ 0.16).
Au sio mkuuWekeza huko afu ukilizwa ndio utapata jibu sahihi
Sure aweke kama mil 7 na viushee kidogo, ingawa monthly kupata inaanza from 10 million, hiyo product ya daily faida UTT kupewa haipo. Ukitaka nunua cryptocurrency then uza ila uwe very speculative.Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Kwan hiyo 7M tunajua kaipataje....Inawezekana anafanya biashara. Faida aifanyie kitu kingine.Million saba kafanye biashara