Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..?

2000/= kwangu inanitosha kabisa.
Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidia
1737500856988.png

Tafuta mtaji wa M5 sio 7
Kwa mfano, Mfuko wa Jikimu umekuwa ukitoa gawio la asilimia 3% hadi 4% kila baada ya miezi mitatu, ambayo ni sawa na asilimia 12% hadi 16% kwa mwaka.

Ili kupata faida ya Tsh 2,000 kwa siku, unahitaji mapato ya Tsh 730,000 kwa mwaka (Tsh 2,000 x 365 siku). Kama tunakadiria kiwango cha juu cha faida cha asilimia 16% kwa mwaka, utahitaji kuwekeza kiasi cha takriban
Tsh 4,562,500 (Tsh 730,000 ÷ 0.16)
.
Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.
Chanzo: UTT
 

Attachments

Weka 7m kaka, ujiokotee zako 2000 kiulaini
Sure aweke kama mil 7 na viushee kidogo, ingawa monthly kupata inaanza from 10 million, hiyo product ya daily faida UTT kupewa haipo. Ukitaka nunua cryptocurrency then uza ila uwe very speculative.
 
Back
Top Bottom