Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

Sawa nitafuatilia, kwa sisi wadundulizaji kabla hujaweka pesa sehemu lazima ufuatilie kwa kina maana pigo moja unapoteza kila kitu
ni kweli pigo moja unapoteza kila kitu kwenye sehemu hizo unawakopesha ndo wanakuwa wanakupa hiyo 13% kama faida hata kama kampun ikifilisika wew unalipwa kwanza pesa yako na faida
 
Uhakika wa kuzipata pesa zangu ninapozihitaji upoje, isije kuwa kama NSSF pesa zako mwenyewe kuzipata mlolongo
 
uhakika ni masaa 24 muda wowote unatoa au kuweka hela maana wanalipa kwa mwezi 1% ya uwekezaji wako unauganishwa na salio lako hakuna mlolongo wowote
 
Sasa unatoaje kwa masaa 24 wakati hela wamepewa watu wanazunguusha? Au sio kama fixed account ya NMB
 
ni fixed account ila haina limit ya muda wa kutoa hela wao wanachofanya pesa yako wanaiwekeza mnakuwa mnagawana faida unapotaka kutoa hela wao wanatoa pesa yao ya mtaji ile waliowekeza wanakuwa wanapata faida wao
 
Hapa sijaelewa mfano mimi nadunduliza ifeke 25mil nikaweka ikafika 20mil na nimeweka fixed account kuwa naitoa baada ya mwaka au miaka 2 ikatokea naitaka asaivi inatokaje au mpaka niandike mabarua kwa meneja
 
unaweza kutoa muda wowote unaotaka hakuna barua wala nin mfano vodacom kwenye M-WEKEZA unaenda toa pesa unatoa na kupewa pesa yako ndani ya sekunde10 mfano umewekeza 20ml unakuwa unapewa laki 2 kwa mwezi ila ukitoa pesa kabla mwezi kuisha haupew hiyo lak mbili
 
Kimaandishi inashawishi ila kuweka pesa inahitaji upembuzi yakinifu

All in all ahsante kwa ushauri mkuu
 
Huwez kufikisha hata kwa miaka 15 km hufanyi side jobs zenye uhakika na kutokua na nidhamu ya pesa iliyopitiliza. Mbaya zaidi una familia ndo ugumu unapoongezeka. Mm mimeajiriwa mwaka wa 11 sasa ninakueleza kwa experience kubwa sana. Pole
 
Kwanini mkuu nawewe ulijaribu!
 
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
1. Tengeneza mfuko wa dharura wa angalau mshahara wa miezi 3–6 kabla ya kuanza kukusanya milioni 25. Hii itazuia kuvunja akiba kila shida inapotokea.

2. Usitumie kikoba kama sehemu kuu ya kutunza fedha za lengo kubwa. Weka pesa kwenye akaunti maalumu au uwekezaji ambao si rahisi kutoa fedha kila wakati.

3. Weka kiwango cha kudumu kila mwezi, hata kama ni TSh 250,000 au 300,000, na usikose mwezi wowote. Uthabiti una nguvu kuliko kuweka kiasi kikubwa mara moja halafu kusimama.

4. Kama lengo ni kulifikia haraka, usitegemee mshahara pekee. Tafuta chanzo cha pili cha kipato au biashara ndogo, kisha mapato yake yaende moja kwa moja kwenye akiba.
 
Back
Top Bottom