Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

Unataka kusave kwa muda gani? Kama unataka kusave kwa miaka 10. Fanya hivi. Nenda UTT, fungua akaunti ya mfuko wa Ukwasi (Liquid Fund). Weka TZS 100,000 kila mwezi, hakikisha hutoi. Wana riba ya 13%. Save kwa miaka 10. Baada ya miaka 10 utakua na TZS 24,400,000.

Ambapo ungeamua tu kusave kwenye saving account ya bank, baada ya miaka kumi ungepata TZS 12,000,000. Ambapo pia ingekatwa kiasi kidogo kwa kukutunzia pesa yako.

Kazi Kwako
hv hii liquid fund ya UTT naweza fungua account ya kikundi?
 
Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu
Take home laki 8 ,una mke na mtoto(Familia) then unataka kusave 25m? Really? Like seriously?

Gharama za kodi ,kula ,nauli ,utility bills?
 
Take home laki 8 ,una mke na mtoto(Familia) then unataka kusave 25m? Really? Like seriously?

Gharama za kodi ,kula ,nauli ,utility bills?
Amesema hiyo ni faida kashatoa cost zote,so means hata issue za familia kashatoa kula,nauli na vitu vingine
 
Take home laki 8 ,una mke na mtoto(Familia) then unataka kusave 25m? Really? Like seriously?

Gharama za kodi ,kula ,nauli ,utility bills?
Hiyo ni faida ninayopata baada ya kutoa matumiz, haya matumizi huwa yanatokaga kwenye mtaji then mwisho wa mwez natoa kwenye faida nalegesha kwenye mtaji ndio hubaki kiasi tajwa hapo juu
 
Yeah,akiamua anaweza ndani it’s miaka 3,labda aweke tamaa kudokoa.
Na-run small busines haokopesheki ningeweza ningekopa ili nijitie kitanzi isiwe rahisi kuchepusha malengo
 
Tafuta kazi hata mbili tena na ujitoe akili kwa kuwekeza sana
Acha starehe zote kama una gari uza panda bus
Kuna mambo mengi tunatumia ila hayana faida kwa afya wala kiakili
 
Nikifikisha 25mil ndio nitatimiza wazo langu la uwekezaji au biashara mbadala
upo sawa kikubwa usikate tamaa nakushauri tu ugefungua hata account utt ukawa unapewa 13% kwa mwaka hata kama ukitaka kutoa muda wowote unatoa ukiweka ml 10 kwa mwaka unapata mil 11
 
upo sawa kikubwa usikate tamaa nakushauri tu ugefungua hata account utt ukawa unapewa 13% kwa mwaka hata kama ukitaka kutoa muda wowote unatoa ukiweka ml 10 kwa mwaka unapata mil 11
Hii kitu naisikia sana humu wakiipromote lakini huku kitaa hawaitaji kabisa yaani siisikii hata ikitajwa au ni mfuko wa wafanyakazi serikalini?
 
Hii kitu naisikia sana humu wakiipromote lakini huku kitaa hawaitaji kabisa yaani siisikii hata ikitajwa au ni mfuko wa wafanyakazi serikalini?
hapana ni mfuko wa wote watanzania ili kujua zaid piga namba zao hizi
0800112020
Na voda wanamfuko wao unapata 13% unaweza kuwekeza utt au voda kwenye M-WEKEZA
 
hapana ni mfuko wa wote watanzania ili kujua zaid piga namba zao hizi
0800112020
Na voda wanamfuko wao unapata 13% unaweza kuwekeza utt au voda kwenye M-WEKEZA
Sawa nitafuatilia, kwa sisi wadundulizaji kabla hujaweka pesa sehemu lazima ufuatilie kwa kina maana pigo moja unapoteza kila kitu
 
Back
Top Bottom