Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
Bila income yako kuongezeka, lengo lako litaendelea kuwa ndoto. Hata ikitokea miujiza ukaweza kuweka pembeni 250,000/= kila mwezi itakuchukua miezi 100 (zaidi ya 8 years) kukusanya TZS 25 million. By that time, kiasi hicho cha hela hakitatosha tena kufanya jambo ambalo leo kinatosha kulifanya!
 
Bila income yako kuongeza, lengo lako litaendelea kuwa ndoto. Hata ikitokea miujiza ukaweza kuweka pembeni 250,000/= kila mwezi itakuchukua miezi 100 (zaidi ya 8 years) kukusanya TZS 25 million. By that time, kiasi hicho cha hela hakitatosha tena kufanya jambo ambalo leo kinatosha kulifanya!
makakuleti yanafayika
 
Kwa kujibana kiasi ni wastani wa miaka 4 huwa napata vipesapesa tofauti na net income
 
Mwezi huu nimeanza na lak8 safari ndio kwanza inaanza sema bado sijajua nitunze wapi nimeiacha mpesa kwanza huku nikifikiria sehemu sahihi
 
Fungua fixed deposit account au wekeza kwenye UTT AMIS, huku pesa yako itazaa faida na si rahisi kuitoa kienyeji kwa dharura ndogondogo.

Ukiweza kusave 400k kila mwezi ambayo ni 50% to 80% ya kipato chako kwa mwaka utapata 4.8 M, i li kufika 25 million itakuchukua takriban miaka 5 na miezi michache, huu ni muda mrefu, hivyo unahitaji extra income ili kufika lengo for 3 yrs.
 
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
Kwanza tengeneza budget yako ujue matumizi yako then uone kiasi gani unaweza kusave japo itakuchukua muda inabidi ujibane haswaaa
 
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
Mtafute chief godlove
Mtafute tajiri chui
Jiunge freemason
Piga ndagu
Uza figo moja
Uza ini ,hii aina shida sababu ini ndo organ pekee ambayo ikikatwa in regrow tena ni millioni 50
Uza makende approxemetly usd 2 milion
Kuwa tapeli
Utanishukuru later
 
Utanishukuru
 
Tunza kwenye MMF yoyote pamoja na KIKOBA.

UTT, FAIDA FUND, M-WEKEZA.

Chagua moja.
 
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
fuga kitimoto mzee.
Miaka miwili ulete mrejesho hapa.
 
Ni rahisi sana, kila unapopokea mshahara wako jitahidi uweke akiba ya Mill 2.5 kila mwezi maana yake ndani tu ya miezi kumi utakuwa na 25 Millioni na ukivumilia kwa 2 months more maana yake utakuwa na 30 Mill kwa mwaka na hapo huna tena sababu ya kwenda kukopa benk au sehemu yeyote.

Utakuwa na uwezo wa kufanya jambo la 30 mill kila mwaka bila kwenda benki.

NB: hakikisha angalau ule vizuri na kuishi vizuri kwa mwezi like kama 1 Mill inakutosha but make sure 2.5 una save mkuu ili kutimiza jambo lako
 
Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa

Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?

Karibu
Mtu wa kukupa ushauri lazima awe ni anayejua kipato chako, potential yako, career yako, ukubwa wa familia yako, life style yako(na ya mkeo obviously) na mazingira unayoishi. Kama hauwezi kuyaweka wazi hayo hapa ni kwamba unaletea watu usumbufu tu.
 
Vicoba nishacheza nikachemka m-wekeza na Utt kwa target ya muda mfupi naona ugumu flan hivi vipi mkuu hakuna njia nyingine hata ya kienyej naweza itumia kusave
Fixed deposits za Banks/ Utt Bond Fund
 
Vicoba nishacheza nikachemka m-wekeza na Utt kwa target ya muda mfupi naona ugumu flan hivi vipi mkuu hakuna njia nyingine hata ya kienyej naweza itumia kusave
Fixed deposits ya banks, Utt - Bond Fund, & Amana za Bank kuu ambazo hizo unaaccess ya muda hutaweza itoa mpaka muda huo
 
Wakati naanza mwaka jana ilikuwa ni safari ya miaka 3 lakini ndani ya mwaka mmoja sikufika hata robo ya lengo maana nilijikuta pesa zote nimezitumia
Sawa mkuu. Unaweza kusave wakay laki 1 kwa mwezi na itakuchukua muda wa miaka 10 na miezi 3. Inawwzekana kabisa mpambanaji.
 
Back
Top Bottom