Vicoba nishacheza nikachemka m-wekeza na Utt kwa target ya muda mfupi naona ugumu flan hivi vipi mkuu hakuna njia nyingine hata ya kienyej naweza itumia kusaveMkuu, muhm kucheza na budget yako kwanza uone matumiz yako halafu anza mdogo mdogo hata walau 100k au 150k kwa mwezi uanze kuisave kwa kutumia vicoba, m-wekeza au UTT [Liquid] ambapo ufanye hivo walau kwa mwaka ili uone unaweza kufika hatua gani, Lakini kama unaweza ukaanza mishe nyingine mbal na salary itasaidia zaid
Sina matumizi makubwa sana almost ninachokipata mwisho wa mwezi kinaweza seviwa chote au nikatoa kidogo mimi sio muajiriwa ni mfanya biashara hiyo take home nimemaanisha faida kwa mwezi ukitoa mtaji na cost za ku-run biashara kwa mweziinategemea na matumizi yako mkuu
kama ni mfanyabiashara hiyo faida kwann usiizungushe ikaongezeka kuliko kuiweka tu mkuuSina matumizi makubwa sana almost ninachokipata mwisho wa mwezi kinaweza seviwa chote au nikatoa kidogo mimi sio muajiriwa ni mfanya biashara hiyo take home nimemaanisha faida kwa mwezi ukitoa mtaji na cost za ku-run biashara kwa mwezi
25M ndani ya muda gani ?Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa
Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?
Karibu
Kuna biashara zingine hata ukiongeza kwenye mtaji faida haiongezeki zaidi tu utakuta unaitumia bila kujua na kuongeza biashara nyingine ni malengo ambayo yanahitaji maandalizikama ni mfanyabiashara hiyo faida kwann usiizungushe ikaongezeka kuliko kuiweka tu mkuu
Sasa pesa kuwa usd au Tz kuna utofauti gani?Kwa mshahara huo utasubiri sana, then hizo si usd 10k tu!?
Biashara inahitaji maandaliz mkuu ukikurupuka kisa una balance 1m iko pending na huna kazi nayo mda huo basi uanzishe tu biashara unaweza poteza zote na nyingine unazopata zihudumie hiyo biashara hadi isimameHela ya kuweka huwa haiongezeki mkuu.
Ukiipata hela, Ipe kazi, itume ikakuletee hela nyingine.
Fungua biashara ambayo mtaji wake ni mdogo sana katika hiyo 500k unayopata kwa mwezi inaweza kuwa 50k au 100k
Kopesha kama una uhakika itarudi.
Unaweza uka bet katika moja na mbili kuituma hela yako.
Ukisema uiweke kwenye kibubu haikui bali inadumaa
Ushauri mzuri nafikiria kufungua account ya bank niweke nione kama nitavumilia kutochungulia hukoKama huakika unapata 800k kwa mwez unan uwezo wakutumiaga 200k tu na 600k ukaiweka kwenye acc maalum apambo iyo 600k × 12=7200000 kwaiyo itakubid upambane ndan ya miaja mitatu na nusu adi minne apo kama umechagua kupata 25m kwanjia ya mshahara na posho zakazin kwako ila kama utaruhusu kuongeza njia ni chap tu
Tafuta nyoka mkuu, wanapatikana Morogoro na SumbawangaKazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa
Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?
Karibu
kwa huo mshahara hauwezi kusave ndani ya huo muda hadi ufikie 25M maana hata ukisave 600k ambayo ni mshahara wako wote bado itachukua miaka 3, chakufanya, iweke kwenye kitu kingine mfano biashara ili ikue japo na risk pia inaongezekaMuda sio shida sana shida ipo kwenye kuweza kusave hadi ifike hiyo maana nimejaribu mbinu moja mwaka mzima nimejikuta patupu japo walau miaka mitatu na isizidi miaka minne
huko vicoba, m wekeza atakula mkuu, si umeona alianza kucheza kikundi aaishia kusolve matatizo yakeMkuu, muhm kucheza na budget yako kwanza uone matumiz yako halafu anza mdogo mdogo hata walau 100k au 150k kwa mwezi uanze kuisave kwa kutumia vicoba, m-wekeza au UTT [Liquid] ambapo ufanye hivo walau kwa mwaka ili uone unaweza kufika hatua gani, Lakini kama unaweza ukaanza mishe nyingine mbal na salary itasaidia zaid
Hivi NBC na NMB vs CRDB ipi borafungua akaunti benki then uifungie ndani ya miaka mitatu usiweze kutoa hela, uwe unaweka tu. weka lengo kuwa kila mwezi uhakikishe umedeposit kiasi fulani, pia hela zinazopita bila malengo unazitupia huko hata kama ni buku
mfano wa account ni Malengo account ya NBC