Basi we ni tajiri unajichelewesha mwenyewe kama unao uwezo kupata kiasi chote hicho ambacho hauna matumizi nacho kwa mwezi mzima unahangaika nini sasa?
Peleke UTT kama unaona haifai huko (kwasababu ni rahisi pia kuchukua hela yako), fungua malengo akaunti (haina faida yoyote ukilinganisha na UTT) zaidi ya hizo option mbili sioni nyingine na nzuri zaidi ni kufungua akaunti UTT ambapo utapeleka pesa yako kila mwezi na utapata angalau ongezeko hata kama ni kidogo lakini tayari lengo lako ni kutunza fedha hivyo ongezeko halijalishi sana lakini angalau unao uhakika wa pesa yako kutunzwa na kuongezeka kila mwaka
Mwisho kabisa kuna hizi biashara "haramu" za kukopeshana mitaani kwa riba, kama unao watu unaowaamini au ni "sisk take" mzuri unaweza wekeza huko.Zipo na zinalipa japo ni haramu ukipigwa huna pa kwenda