kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kwa nini mkuu?Hutatoboa hapo getini😅
Mlinzi gani ataruhusu usogelee geti la ikulu bila kukufukuza😅 labda uwe na laki moja ya hongo ili mama akija wasikuondoe mpaka akuone!Kwa nini mkuu?
Kwa nini mkuu?
barua wanapokea fresh tu pale getini yaani hata ukiwa na mtu unamfahamu anafanya kazi pale ukaenda kumuona wanaasiliana naye na anaweza kuja pale getin (reception) ukaonana naye na mkaongea kabisa kuna hadi sehemu private ya kuongea hapohapo reception, kuna reception kubwa pale ina hadi masofa ya kukaa wageni. Walinzi wa pale getini kazi yao ni kuwa screen watu na magari tu na kuwaelekeza reception. ambapo ndipo wanapokea barua zote na kusikiliza shida ya mtu na kumshauri jinsi wanavyoona inafaa, Walinzi wa pale hawawezi kukuzuia labda wakubaini you are security threatHutatoboa hapo getini😅
😂😂😂😂😂Mlinzi gani ataruhusu usogelee geti la ikulu bila kukufukuza😅 labda uwe na laki moja ya hongo ili mama akija wasikuondoe mpaka akuone!
Atarushwa kichurachura kutoka Magogoni mpaka Chalinze!Utakutana na wanajeshi shauri yako
Utarushwa kichura chura mpaka ukome