Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

Hivi kwa ulimwengu huu inawezekana ukafanya biashara ukimtegemea Mungu pekee pasipo featuring na ukatoboa vizuri mkuu Mshana Jr?
Soma hii


Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu ila itakuwa poa katika huu uzi km ukitoa real example watu waamin uchawi upo na si lazima umtumikie shetani unaweza kuutumia kufanya mazuri

Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi huo ni sayansi jifunze hesabu, umeme au chemistry utafanya makubwa na utaitwa mchawi utapobadilisha matunda kuwa gongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa Mshana Jr
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
renamaizo Uchawi ni falsafa ukitaka kufanya uchawi wa kisomi kwanza uijue theolojia pili metaphysics hii elimu itakufanya kujua aina za watu na tabia za binadamu.
Sio jambo rahisi kulifanikisha ni ujuzi utakaohitaji kufanya mitihani kwa theory na practicals kukupima kama uneiva.

Utahitajika garama kupata mafunzo hayo inaweza kufikia milioni kadhaa na ili kupata mafunzo mazuri zaidi kuna vyuo vya kimataifa nchi za nje.

Mambo kama meditations pia ni miongoni mwa elim utakayoipata, uwezo wa kuona yajayo pia ni elimu utakayoipata.
Matamanio yako yanapaswa kuanzia ndani sababu unaweza kufadhiliwa gharama na bado ukakimbia masomo[emoji2181]
 
"the science and art of causing change to occur in conformity with will." Aleister Crowley

Kwanza inakubidi umjue huyu jamaa ni nani ingia google uwanze kumsoma na uweze kujua system mbalimbali na utakavyoweza kuzitumia.. ukimsoma huyu jamaa utakuwa katika njia nzuri yako wewe kujua na kujifunza hiyo sanaa unayotaka kuijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…