Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

Hivi kwa ulimwengu huu inawezekana ukafanya biashara ukimtegemea Mungu pekee pasipo featuring na ukatoboa vizuri mkuu Mshana Jr?
Soma hii


Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu ila itakuwa poa katika huu uzi km ukitoa real example watu waamin uchawi upo na si lazima umtumikie shetani unaweza kuutumia kufanya mazuri

Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hii


Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa Mshana Jr
 
Habar wakuu !!!

heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa sana sasa sijui nianzie wapi ?

SHARTI NATAKA NIWE MCHAWI MSOMI mchawi aliesomea principle zote za kichawi from beginning nimewah soma bandiko moja linasema shida sio uchawi shida ni unautumiaje mm nataka niitumie kwa faida tu na sio mambo ya ajabu au kukaririshwa vitu au maneno ambayo siyaelewi au kuchanjwa chale Na kupakwa dawa nisizozielewa naomba msaada

SITAKI UCHAWI WA DIZAINI HII
kutoa kafara binadamu wenzangu hata km sio ndugu zangu
kumtumikia shetani
kukufuru
kulazimisha kutamka au kufanya vitu nisivyovielewa
au kufanya jambo lolote lile baya litaloumiza wengine nk

NATAKA UCHAWI HUU
Kutoa kafara wanyama km mbuzi nk real mbuzi sio wafanye mazingaombwe mtu ageuzwe mbuzi
kumtumikia MUNGU
kuwekwa kila kitu wazi kuhusu maneno ishara nk
kuutumia uchawi kufanya maendeleo km kubuni vitu nk
uvumbuzi wa technolojia

asanteni

UPDATESSSSSS !!!!!!!!!!!!
Sijui kwann most of people wanaamini uchawi ni kitu kibaya WHY mm naamin uchawi si shida shida unautumiaje Mshana Jr upo wapi nasubir neno moja kutoka kwako
Extrovert
😂😂😂
 
renamaizo Uchawi ni falsafa ukitaka kufanya uchawi wa kisomi kwanza uijue theolojia pili metaphysics hii elimu itakufanya kujua aina za watu na tabia za binadamu.
Sio jambo rahisi kulifanikisha ni ujuzi utakaohitaji kufanya mitihani kwa theory na practicals kukupima kama uneiva.

Utahitajika garama kupata mafunzo hayo inaweza kufikia milioni kadhaa na ili kupata mafunzo mazuri zaidi kuna vyuo vya kimataifa nchi za nje.

Mambo kama meditations pia ni miongoni mwa elim utakayoipata, uwezo wa kuona yajayo pia ni elimu utakayoipata.
Matamanio yako yanapaswa kuanzia ndani sababu unaweza kufadhiliwa gharama na bado ukakimbia masomo[emoji2181]
 
"the science and art of causing change to occur in conformity with will." Aleister Crowley

Kwanza inakubidi umjue huyu jamaa ni nani ingia google uwanze kumsoma na uweze kujua system mbalimbali na utakavyoweza kuzitumia.. ukimsoma huyu jamaa utakuwa katika njia nzuri yako wewe kujua na kujifunza hiyo sanaa unayotaka kuijua
 
Back
Top Bottom