Nataka single movie ya kunitoa machozi

Nataka single movie ya kunitoa machozi

Kuna movie ya Suniel Shetty inaitwa Dhadkan. Jaribu hii movie ila ili ulie unatakiwa uwe na concentration na ukimya wa kutosha. .

A uangalie nyimbo za kumuomboleza Magufuli na movie ya msiba wake utalia sana unaweza lia mpaka ukakauka maji mwilini. .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpaka maji yamkauke
 
Za kibongo...

- Kuna Mwasu ya Liyama Ally

- Family tears ya Kanumba
 
The Price ya Kinegeria, ni ya muda mrefu kidogo. Enzi hizo naitazama miaka ya 2000 mwanzoni, ilinihuzunisha na kunitoa machozi

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umenitoa mbali sana mkuu, hii movie niliiona kitambo mno kama mwaka 2002
Asante kwa kumbukumbu yako
 
Back
Top Bottom