Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.
Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..
toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.
Tanzania kuna wanasiasa na waandishi wa habari wanaojua kutumia kalamu na midomo yao kuchafua wengine mradi tu wanapata kile wanachotaka "Kwa gharama yeyote"mmoja wao ni Tundu Lissu...
Kumbuka wakati wenzako wanakuomba uchangie chama hukutoa hata ndururu ukiwa mbunge, hata kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, mil 30 uliyoombwa hukutoa,
Ila wewe gharama binafsi unasema umetumia mil 40?
Leo unatwambia tuchangie chama ambacho hujawahi kuchangia fedha hata kumi ukiwa financially stable, kwa lipi?
Nevertheless, Kampeni zimeisha na mshindi amepatikana, lakini hatutasahau kamwe hoja hizi....
1. Kwamba CHADEMA Chini ya Mbowe, Maridhiano na Rais hayakuwa na nafasi na alikosea sana kufanya hivyo (Naiskia unaomba mengine)
2. Kwamba Freeman Mbowe kutumia fedha zake binafsi kuendesha chama ni kosa kwakuwa hujui zimetoka wapi
3. Ruzuku na Michango ya Wanachama zinatosha kuendesha chama na kujitegemea
4. Utekaji na kupotea kwa watu CHADEMA chini ya Freeman Mbowe hawakufanya lolote
5. Ubunge viti Maalumu utagawanywa kwa Mpango maalumu na wa kipindi kimoja
6. Viongozi wa sasa Chadema wamepatikana kwa kutoa Rushwa
7. Mahusiaono na Mapendano na serikali ni kitu kisichokubalika..
8. Uchaguzi Usipokuwa huru na Haki patachimbika.
9. Utazuia uchaguzi kufanyika bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi "No Reform no Election"
10 . FAM alikuwa amezungukwa na watu wasio na akili nyingi, na sasa wewe umezungungukwa na watu wenye akili nyingi...
11. Fedha za Ruzuku kugawiwa kwenye Kila jimbo kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama.
12. Chama kujitegemea bila kutegemea fedha kutoka kwa watu binafsi...
13. Kuzuia Utekaji nk...
Nataka mfanye yote ila mstick kwenye reli iliyowapa madaraka, hakuna wa kulamba wala kulambishwa asali sasaivi mna timu safi na inayopenda haki...
Mna back up za kila namna... nataka sana mfanikiwe kwenye reli hiyo.. nje ya hapo nataka Ushindwe na chama kikudodee upate wasaliti na wakuchafue zaidi ya hizi propaganda ulizokuwa unaeneza hapa...
Najua kibarua ulicho nacho kuhakikisha wagombea uchaguzi 2025 kwa Ubunge na urais wanapita kwa haki..... Ukitoka nje ya maneno yako nataka chama kisambaratike na ukikimbie kabisa.
Kifupi usipofanya kama ulivyoahidi nataka Ushindwe, Ushindwe na urudi utueleze ukweli na reality on the ground zilikuwa ni zipi.
Bla bla political party wont make it this time around.