Nataka Tundu Lissu Ashindwe ili Ajirudi, Atubu na Aseme Ukweli

Badala mtoe mawazo mjenge chama mmekaa paleee mnasubiri ashindwe. Mnamsusia.

Najua ushindi wa lissu ni pigo kwa CCM kwa kiasi kikubwa.
Lissu sio weak contender hata kidogo.
Huyu survivor sio wa kuitwa ikulu akapewa chai then akapatiwa check akatulia. Vichwa vinawaka moto.
Hajasusiwa, wanaogopa kuitwa wala rushwa,

Not a weak contender- bravo! time will tell
 
Uchaguzi umeisha na Mbowe ameshindwa kihalali, acheni nongwa na hakuna kuhama chama. Lisu atafanya kwa haki kama alivyoahidi, lakini yeye sio muuza unga, hivyo usitegemee atakuwa na pesa za kumwaga kwenye chama. Ni jukumu la wanachama kuchangia chama chao nima sio kusubiri mwenyekiti atoe fedha zake mfukoni. Na hicho chama kikifa kwa kukosa fedha, hilo sio kosa la Lisu bali wanachama wake. Hivyo hili dua lako la kuku litakuacha na msongo wa mawazo bure.
Kwamba FAM alikuwa muuza unga?

Future can be calculated, hakuna dua la kuku...

Hizo brainy mlizokuwa mnalilia zimzunguke ashaziteua zote.. bado moja kutoka CCM mambo yawe mazuri
 
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.

Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..

toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.

Tanzania kuna wanasiasa na waandishi wa habari wanaojua kutumia kalamu na midomo yao kuchafua wengine mradi tu wanapata kile wanachotaka "Kwa gharama yeyote"mmoja wao ni Tundu Lissu...

Kumbuka wakati wenzako wanakuomba uchangie chama hukutoa hata ndururu ukiwa mbunge, hata kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, mil 30 uliyoombwa hukutoa,
Ila wewe gharama binafsi unasema umetumia mil 40.....??

Leo unatwambia tuchangie chama ambacho hujawahi kuchangia fedha hata kumi ukiwa financially stable, kwa lipi?

Nevertheless, Kampeni zimeisha na mshindi amepatikana, lakini hatutasahau kamwe hoja hizi....

1. Kwamba CDM Chini ya Mbowe, Maridhiano na Rais hayakuwa na nafasi na alikosea sana kufanya hivyo (Naiskia unaomba mengine)

2. Kwamba FAM kutumia fedha zake binafsi kuendesha chama ni kosa kwakuwa hujui zimetoka wapi

3. Ruzuku na Michango ya Wanachama zinatosha kuendesha chama na kujitegemea

4. Utekaji na kupotea kwa watu CDM chini ya FAM hawakufanya lolote

5. Ubunge viti Maalumu utagawanywa kwa Mpango maalumu na wa kipindi kimoja

6. Viongozi wa sasa Chadema wamepatikana kwa kutoa Rushwa

7. Mahusiaono na Mapendano na serikali ni kitu kisichokubalika..

8. Uchaguzi Usipokuwa huru na Haki patachimbika.

9. Utazuia uchaguzi kufanyika bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi "No Reform no Election"

10 . FAM alikuwa amezungukwa na watu wasio na akili nyingi, na sasa wewe umezungungukwa na watu wenye akili nyingi...

11. Fedha za Ruzuku kugawiwa kwenye Kila jimbo kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama.

12. Chama kujitegemea bila kutegemea fedha kutoka kwa watu binafsi...

13. Kuzuia Utekaji nk...

Nataka mfanye yote ila mstick kwenye reli iliyowapa madaraka, hakuna wa kulamba wala kulambishwa asali sasaivi mna timu safi na inayopenda haki...

Mna back up za kila namna... nataka sana mfanikiwe kwenye reli hiyo.. nje ya hapo nataka Ushindwe na chama kikudodee upate wasaliti na wakuchafue zaidi ya hizi propaganda ulizokuwa unaeneza hapa...

Najua kibarua ulicho nacho kuhakikisha wagombea uchaguzi 2025 kwa Ubunge na urais wanapita kwa haki..... Ukitoka nje ya maneno yako nataka chama kisambaratike na ukikimbie kabisa.

Kifupi usipofanya kama ulivyoahidi nataka Ushindwe, Ushindwe na urudi utueleze ukweli na reality on the ground zilikuwa ni zipi.

Bla bla political party wont make it this time around.
🚮
 
Unajua nilipokuwa nasoma uzi wako i thought ningekutana na facts au relative truth but they again ni whishful thoughts, wanting someone to fail ili upate somekind od satsfaction?

Come on man
Not Satisfaction.
Bad behavior and character can be stopped by learning,
Kwenye politics hakuna relative truth, kuna opinions..
 
Pole, lissu
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.

Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..

toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.

Tanzania kuna wanasiasa na waandishi wa habari wanaojua kutumia kalamu na midomo yao kuchafua wengine mradi tu wanapata kile wanachotaka "Kwa gharama yeyote"mmoja wao ni Tundu Lissu...

Kumbuka wakati wenzako wanakuomba uchangie chama hukutoa hata ndururu ukiwa mbunge, hata kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, mil 30 uliyoombwa hukutoa,
Ila wewe gharama binafsi unasema umetumia mil 40.....??

Leo unatwambia tuchangie chama ambacho hujawahi kuchangia fedha hata kumi ukiwa financially stable, kwa lipi?

Nevertheless, Kampeni zimeisha na mshindi amepatikana, lakini hatutasahau kamwe hoja hizi....

1. Kwamba CDM Chini ya Mbowe, Maridhiano na Rais hayakuwa na nafasi na alikosea sana kufanya hivyo (Naiskia unaomba mengine)

2. Kwamba FAM kutumia fedha zake binafsi kuendesha chama ni kosa kwakuwa hujui zimetoka wapi

3. Ruzuku na Michango ya Wanachama zinatosha kuendesha chama na kujitegemea

4. Utekaji na kupotea kwa watu CDM chini ya FAM hawakufanya lolote

5. Ubunge viti Maalumu utagawanywa kwa Mpango maalumu na wa kipindi kimoja

6. Viongozi wa sasa Chadema wamepatikana kwa kutoa Rushwa

7. Mahusiaono na Mapendano na serikali ni kitu kisichokubalika..

8. Uchaguzi Usipokuwa huru na Haki patachimbika.

9. Utazuia uchaguzi kufanyika bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi "No Reform no Election"

10 . FAM alikuwa amezungukwa na watu wasio na akili nyingi, na sasa wewe umezungungukwa na watu wenye akili nyingi...

11. Fedha za Ruzuku kugawiwa kwenye Kila jimbo kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama.

12. Chama kujitegemea bila kutegemea fedha kutoka kwa watu binafsi...

13. Kuzuia Utekaji nk...

Nataka mfanye yote ila mstick kwenye reli iliyowapa madaraka, hakuna wa kulamba wala kulambishwa asali sasaivi mna timu safi na inayopenda haki...

Mna back up za kila namna... nataka sana mfanikiwe kwenye reli hiyo.. nje ya hapo nataka Ushindwe na chama kikudodee upate wasaliti na wakuchafue zaidi ya hizi propaganda ulizokuwa unaeneza hapa...

Najua kibarua ulicho nacho kuhakikisha wagombea uchaguzi 2025 kwa Ubunge na urais wanapita kwa haki..... Ukitoka nje ya maneno yako nataka chama kisambaratike na ukikimbie kabisa.

Kifupi usipofanya kama ulivyoahidi nataka Ushindwe, Ushindwe na urudi utueleze ukweli na reality on the ground zilikuwa ni zipi.

Bla bla political party wont make it this time arou
Lissu kiboko, Kuna tetesi ccm wanataka kubadilisha secretariet kwa sababu ya mzalendo lissu.
 
Kwamba FAM alikuwa muuza unga?

Future can be calculated, hakuna dua la kuku...

Hizo brainy mlizokuwa mnalilia zimzunguke ashaziteua zote.. bado moja kutoka CCM mambo yawe mazuri
Narudia tena Lisu sio muuza unga, ataendesha chama kama taasisi ya watu na sio mali yake. Wanachama wakishindwa kukichangia chama sio kosa lake, yeye wajibu wake ni kuongoza mageuzi.
 
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.

Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..

toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.

Tanzania kuna wanasiasa na waandishi wa habari wanaojua kutumia kalamu na midomo yao kuchafua wengine mradi tu wanapata kile wanachotaka "Kwa gharama yeyote"mmoja wao ni Tundu Lissu...

Kumbuka wakati wenzako wanakuomba uchangie chama hukutoa hata ndururu ukiwa mbunge, hata kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, mil 30 uliyoombwa hukutoa,

Ila wewe gharama binafsi unasema umetumia mil 40?

Leo unatwambia tuchangie chama ambacho hujawahi kuchangia fedha hata kumi ukiwa financially stable, kwa lipi?

Nevertheless, Kampeni zimeisha na mshindi amepatikana, lakini hatutasahau kamwe hoja hizi....

1. Kwamba CHADEMA Chini ya Mbowe, Maridhiano na Rais hayakuwa na nafasi na alikosea sana kufanya hivyo (Naiskia unaomba mengine)

2. Kwamba Freeman Mbowe kutumia fedha zake binafsi kuendesha chama ni kosa kwakuwa hujui zimetoka wapi

3. Ruzuku na Michango ya Wanachama zinatosha kuendesha chama na kujitegemea

4. Utekaji na kupotea kwa watu CHADEMA chini ya Freeman Mbowe hawakufanya lolote

5. Ubunge viti Maalumu utagawanywa kwa Mpango maalumu na wa kipindi kimoja

6. Viongozi wa sasa Chadema wamepatikana kwa kutoa Rushwa

7. Mahusiaono na Mapendano na serikali ni kitu kisichokubalika..

8. Uchaguzi Usipokuwa huru na Haki patachimbika.

9. Utazuia uchaguzi kufanyika bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi "No Reform no Election"

10 . FAM alikuwa amezungukwa na watu wasio na akili nyingi, na sasa wewe umezungungukwa na watu wenye akili nyingi...

11. Fedha za Ruzuku kugawiwa kwenye Kila jimbo kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama.

12. Chama kujitegemea bila kutegemea fedha kutoka kwa watu binafsi...

13. Kuzuia Utekaji nk...

Nataka mfanye yote ila mstick kwenye reli iliyowapa madaraka, hakuna wa kulamba wala kulambishwa asali sasaivi mna timu safi na inayopenda haki...

Mna back up za kila namna... nataka sana mfanikiwe kwenye reli hiyo.. nje ya hapo nataka Ushindwe na chama kikudodee upate wasaliti na wakuchafue zaidi ya hizi propaganda ulizokuwa unaeneza hapa...

Najua kibarua ulicho nacho kuhakikisha wagombea uchaguzi 2025 kwa Ubunge na urais wanapita kwa haki..... Ukitoka nje ya maneno yako nataka chama kisambaratike na ukikimbie kabisa.

Kifupi usipofanya kama ulivyoahidi nataka Ushindwe, Ushindwe na urudi utueleze ukweli na reality on the ground zilikuwa ni zipi.

Bla bla political party wont make it this time around.
Umeandika ujinga mtupu
 
Ccm daima
 
Wewe ni mchaga toleo la mwisho.

Hata ukinuna kazi itapigwa.
Hata ukipinga watu watafurahi.
 
MBOWE'S CYCLE OF GRIEF 🤣🤣
images - 2025-01-26T215621.242.jpeg

He came from Denial, now he's at the Anger stage, throwing Big Baby Tantrums.​
 
Wewe ni mchaga toleo la mwisho.

Hata ukinuna kazi itapigwa.
Hata ukipinga watu watafurahi.
Hivi kuna matoleo...?

Wewe ni toleo la ngapi😂

Mtapiga kazi au mtapigika kama viazi?

Subir harakati za bla bla zianze tuone mwisho wake ..
 
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.

Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..

toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.

Tanzania kuna wanasiasa na waandishi wa habari wanaojua kutumia kalamu na midomo yao kuchafua wengine mradi tu wanapata kile wanachotaka "Kwa gharama yeyote"mmoja wao ni Tundu Lissu...

Kumbuka wakati wenzako wanakuomba uchangie chama hukutoa hata ndururu ukiwa mbunge, hata kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, mil 30 uliyoombwa hukutoa,

Ila wewe gharama binafsi unasema umetumia mil 40?

Leo unatwambia tuchangie chama ambacho hujawahi kuchangia fedha hata kumi ukiwa financially stable, kwa lipi?

Nevertheless, Kampeni zimeisha na mshindi amepatikana, lakini hatutasahau kamwe hoja hizi....

1. Kwamba CHADEMA Chini ya Mbowe, Maridhiano na Rais hayakuwa na nafasi na alikosea sana kufanya hivyo (Naiskia unaomba mengine)

2. Kwamba Freeman Mbowe kutumia fedha zake binafsi kuendesha chama ni kosa kwakuwa hujui zimetoka wapi

3. Ruzuku na Michango ya Wanachama zinatosha kuendesha chama na kujitegemea

4. Utekaji na kupotea kwa watu CHADEMA chini ya Freeman Mbowe hawakufanya lolote

5. Ubunge viti Maalumu utagawanywa kwa Mpango maalumu na wa kipindi kimoja

6. Viongozi wa sasa Chadema wamepatikana kwa kutoa Rushwa

7. Mahusiaono na Mapendano na serikali ni kitu kisichokubalika..

8. Uchaguzi Usipokuwa huru na Haki patachimbika.

9. Utazuia uchaguzi kufanyika bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi "No Reform no Election"

10 . FAM alikuwa amezungukwa na watu wasio na akili nyingi, na sasa wewe umezungungukwa na watu wenye akili nyingi...

11. Fedha za Ruzuku kugawiwa kwenye Kila jimbo kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama.

12. Chama kujitegemea bila kutegemea fedha kutoka kwa watu binafsi...

13. Kuzuia Utekaji nk...

Nataka mfanye yote ila mstick kwenye reli iliyowapa madaraka, hakuna wa kulamba wala kulambishwa asali sasaivi mna timu safi na inayopenda haki...

Mna back up za kila namna... nataka sana mfanikiwe kwenye reli hiyo.. nje ya hapo nataka Ushindwe na chama kikudodee upate wasaliti na wakuchafue zaidi ya hizi propaganda ulizokuwa unaeneza hapa...

Najua kibarua ulicho nacho kuhakikisha wagombea uchaguzi 2025 kwa Ubunge na urais wanapita kwa haki..... Ukitoka nje ya maneno yako nataka chama kisambaratike na ukikimbie kabisa.

Kifupi usipofanya kama ulivyoahidi nataka Ushindwe, Ushindwe na urudi utueleze ukweli na reality on the ground zilikuwa ni zipi.

Bla bla political party wont make it this time around.
Unajiumiza nafsi na moyo wako bure tu...

Unaweza vipi kupingana na mpango wa Mungu...?

Utaweza vipi kupambana na mtu mwenye HAKI...?

Mawazo yako ya kishetani yashindwe kwa jina la Yesu Kristo aliye hai...

MAOMBOLEZO 3:37,39 SUV

".....Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza
? Mbona anung’unika mwanadamu aliye hai Mtu akiadhibiwa kwa dhambi zake....?"

ISAYA 54:17 SUV
".....Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA...."
 
Back
Top Bottom