Nataka Tundu Lissu Ashindwe ili Ajirudi, Atubu na Aseme Ukweli

Lisu chama kitamfia
 
Ukitaka kujamba chomoa, utaingizwa tena baadae.
 
Pole mkuu, mlisema Hana wapiga kura, Kiko wapi😂😂
 
And he is giong to fail measerably maana akina maria Sarungi and Co, Ltd ni madebe ya kutika hayana lolote.
 
Mbona ameshaanza kufail.........
 
Yaani unapoteza mda wako kwa kuandika ugoro huu. Si ungetumia mda wako kutetea bandari zilizo uzwa kwa warabu. Au kukemea ujinga wa ccm inao wafanyia watanzania?
 
Kwamba FAM alikuwa muuza unga?

Future can be calculated, hakuna dua la kuku...

Hizo brainy mlizokuwa mnalilia zimzunguke ashaziteua zote.. bado moja kutoka CCM mambo yawe mazuri
Maana yake ccm haiwezi kushindana na chadema bila policcm?
 
Hakuna mtu mwenye akili nzuri atatoa fedha kwa mhuni,mlaghai....
Ikiwa wewe hutatoa haijawa sababu na wengine wasitoe. Mnamchukia Lissu kisa ameshinda ila haijaondoa ukweli wa yeye kutokukalia ushindi wake.
 
Mchawa! Ulitaka Mbowe ashinde ulinusa hatari yake kwa chama? Mchawa mkubwa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…