Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Skuizi vijana wengi wamekua wavivu grade 1
sio uvivu ni umaskin uliokithir vijana wanatafuta namna za kujikwamua kila mtu ana njia zake, si unaskia huko sirikalin watu wanapiga pesa, uantaka kuniambia ni wavivu? [emoji23][emoji23]
Au kama wewe hapo waweza amua kuolewa na jimama likakupa hela na maisha yakaenda ama vipi jombaaa ..eeeeh!
 
Upo tayari kumtoa mama yako mzazi kafara?
 
Pia kuna majini walaghai, matapeli na mabasha, watakumega kwa mkopo.

Fanya kazi ndugu yangu, hakuna pesa ya msesereko isiyo na madhara.
kazi zipi, za saidia fundi ama zipi ambazo sijawai fanya na nyingin wew huwez hata kuwaza kua utakuja fanya
hao majin unaowzungumzia watakua vipepo uchwara ni kama sisiminzi tu kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…