Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Connection yenyewee unayemuulizaa Ss
FB_IMG_1724330690583.jpg
 
Skuizi vijana wengi wamekua wavivu grade 1
sio uvivu ni umaskin uliokithir vijana wanatafuta namna za kujikwamua kila mtu ana njia zake, si unaskia huko sirikalin watu wanapiga pesa, uantaka kuniambia ni wavivu? [emoji23][emoji23]
Au kama wewe hapo waweza amua kuolewa na jimama likakupa hela na maisha yakaenda ama vipi jombaaa ..eeeeh!
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Upo tayari kumtoa mama yako mzazi kafara?
 
Pia kuna majini walaghai, matapeli na mabasha, watakumega kwa mkopo.

Fanya kazi ndugu yangu, hakuna pesa ya msesereko isiyo na madhara.
kazi zipi, za saidia fundi ama zipi ambazo sijawai fanya na nyingin wew huwez hata kuwaza kua utakuja fanya
hao majin unaowzungumzia watakua vipepo uchwara ni kama sisiminzi tu kwangu
 
Back
Top Bottom