pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
-
- #81
Ukiwana hela kamanda..ukiwa huna utakula hadi mavi.Bongo pazuri aiseeee.
Vigezo vyake tafadhali nijulishe namin utakua unavijua hadi kusema hivyo.Shetani nae anachagua mtu Wa kumpa mali au utajiri wake ampi mtu ni mtu tu nduguu ingekua ni kirahisi hivyo watu kibao wangekua huko
Fanya kazi,jilipue kaibe,kavunje magodwn,kabebe ngada,Ukiwana hela kamanda..ukiwa huna utakula hadi mavi.
Tafuta lile tangazo Wegner wanatafuta mamluki kwenda kupigana Ukraine Kuna watu wameshauaga umasikini.
[emoji706]Uko tayari kuliwa ndogo?