ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
Utajiri mzuri ni wa Mungu tu huo mwingine ni mateso sio utajiri tafuta wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikuunganishe na P Diddy haraka sana utakuwa tajiri na pia maarufu.Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
yan uwe maskini halafu uwe na furaha na amaniKila mtu atakufa akuna alokuja dunian kudumu so fanya maamuzi sahihi
Ni bora maisha mafupi yenye furaha na amani kulko maisha marefu yamateso
tolea mfano mateso gani ..maskin ndio hua wanapata mateso.Utajiri mzuri ni wa Mungu tu huo mwingine ni mateso sio utajiri tafuta wa Mungu
Salaleeeee [emoji3]Hata Pope kuhakikisha amekufa huwa anapigwa nyundo ya kichwa x3
Ni muendelezo tu wa kuhakikisha [emoji1] [emoji1787]
Nipe namba.Nenda nyanda za juu kusini ,kaonane na wakinga ,wana utajiri wa kuoza ,punje na wa kuondoa viungo vya mwili.
Ukipata nipe na mmNipe namba.
Na wewe unataka.Ukipata nipe na mm
uongo.Huwezi pata mana n vitu vya kufikirika
Nautaka sana, ukipata koneksheni nishtue...
Mtafute P,Diddy. Mwambie Babu Tale au Diamond akuunganishe na Producer Wizz. P.Diddy atakupeleka chumbani kuangalia TV na mafuta yake atakuwa nayo ya kulainishq hiyo ngozi ya ngozi.Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Bro nipo serious kabisa katika hili.....nielekeze bro.Wewe haupogo serious hata ukielekezwa
Watu mnaona kufirwah ni ishu sana...burna boy kafirwah ila umeona matokeo yake hata daimond hamfikii hata robo kwa utajiri na tuzo za grami anazo..mafukara ndio mnaona ishu sanakufirwah kwa malipo ya utajiri. Hizo ni mbanga za kawaida kwenye utafutaji arifu...Mtafute P,Diddy. Mwambie Babu Tale au Diamond akuunganishe na Producer Wizz. P.Diddy atakupeleka chumbani kuangalia TV na mafuta yake atakuwa nayo ya kulainishq hiyo ngozi ya ngozi.
Ukitoka hapowewe ni tajiri wa hayo inayoyataka
Akikuelekeza nishtue.Bro nipo serious kabisa katika hili.....nielekeze bro.
Ndo mana yake, mafukara mnaona ishu sana kufirwah..Si unataka utajiri
Ova
Onana na PdidyNataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?