Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Utajiri mzuri ni wa Mungu tu huo mwingine ni mateso sio utajiri tafuta wa Mungu
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ngoja nikuunganishe na P Diddy haraka sana utakuwa tajiri na pia maarufu.
 
Kila mtu atakufa akuna alokuja dunian kudumu so fanya maamuzi sahihi
Ni bora maisha mafupi yenye furaha na amani kulko maisha marefu yamateso
 
yan uwe maskini halafu uwe na furaha na amani
usichekeshe walionuna jomba
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mtafute P,Diddy. Mwambie Babu Tale au Diamond akuunganishe na Producer Wizz. P.Diddy atakupeleka chumbani kuangalia TV na mafuta yake atakuwa nayo ya kulainishq hiyo ngozi ya ngozi.

Ukitoka hapowewe ni tajiri wa hayo inayoyataka
 
Watu mnaona kufirwah ni ishu sana...burna boy kafirwah ila umeona matokeo yake hata daimond hamfikii hata robo kwa utajiri na tuzo za grami anazo..mafukara ndio mnaona ishu sanakufirwah kwa malipo ya utajiri. Hizo ni mbanga za kawaida kwenye utafutaji arifu...
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Onana na Pdidy
 
Back
Top Bottom