Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Skuizi vijana wengi wamekua wavivu grade 1
Vijana wanafanya sana kazi tena kazi ngumu.Unabeba zege masaa 12 kwa siku na unalipwa elfu 15.
Kazi ngumu malipo kiduchu,wanaamua kuwa maafisa ubashiri mnawatukana na kuwaona hawana akili.
Wanaenda kwenye siasa mnawaibia kura.
Wanatafuta ajira mnawaomba rushwa hili muwapatie kazi.
Mungu anawaona.
 
Unafikr hao wanaokaa kwa mawifi na mashemej wanaelewa
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani uishi miaka 5-10, nasikia unaingua mkataba wa kuishi miaka 5-10
 
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?

Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa..inasaidia nini kwa mfu..leten konekshen tujitose ,, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe..

Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usiuze roho yako kwa sababu ya anasa ya dunia mkuu!!
 
Sasa mkuu hayo maswali ndio yanayoamua nguvu zikupe masharti gani na utoe sadaka gani.
Anyway jaribu hii mbinu rahisi na ina ugumu kidogo kisha ulete mrejesho ukifanikiwa.

Kanunue yai la kienyeji, andaa sarafu ya shilingi mia tano. Oga maji ya chumvi ya mawe au hata kawaida, nenda njia panda yoyote saa sita mchana au saa sita usiku. Njia panda inakuwa kama na herufi Y. Simama kwa kutazama inapochanua njia panda, kuangalia njia mbili zinapoenda.

Jitaje jina lako, kisha sema 'enyi wakuu na wasimamizi wa eneo hili,nipo mbele yenu.Nawaomba kwa jina la Mungu (taja jina la Mungu kwa mujibu wa dini yako) mnipokelee zawadi hizi na mniwezeshe kupata mafanikio ya kifedha katika mji huu,ahsanteni kwa kunisikiliza"

Weka yai na hiyo mia tano chini. Ondoka.

Njiani au hapo hapo anaweza kutokea mtu kama mtu, au kiumbe kwa namna yoyote, msikilize atakachokuambia. Kama ni mchana jitahidi watu wasikuone, kama ni usiku pia watu wasikuone na kitokea mtu au kiumbe usikimbie, ni katikakukupima tu kama una ujasiri. Hizi ni njia nyepesi nyepesi.

Nimeitoa katika vitabu vya kale
Wewe umesha ijaribu hii njia?
 
Unaenda kwa mganga kutaka utajiri mganga anakusoma nyota anaona kuna nyota njema anaichukua na kukuchanja chale kukuwekea lishetani linaloua kila kitu chako na lenyewe ndio linakuwa linaonekana badala yako na kukufanya uwe na mali,nyota yako njema uliyoicha kwa mganga anaiuza kwa mtu anayetoa hela nyingi na kafara kubwa ili kufanikisha mambo yake,utakuwa tajiri baadae utajiri utaanza kushuka shetani litataka sadaka zaidi ya damu hasa za ndugu zako,utakaposhindwa tu ndipo utakufa na kivuli chako kitachukuliwa na lipepo litautwaa mwili wako tutakuona unaishi kumbe upo kuzimu unateseka.Acha ujinga pambana
 
Umetoa wap haabar za uongo kama hizi we fukara., Vijiwe vya kahawa ama grosari mkiwa mmmelewa, Kwamba nitishike ama vipi..pita kushoto ewe pepo la ufukara
 
Msenge wewe mimi nilishakuwa mganga kabla sijaaachana na hayo mambo
 
Back
Top Bottom