Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Mkuu lini na wapi nilisema nina mganga Tanga?mkuu nilisha ku pm sana kuhusu mtaalam wako wa Tanga ukanikaushia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu lini na wapi nilisema nina mganga Tanga?mkuu nilisha ku pm sana kuhusu mtaalam wako wa Tanga ukanikaushia sana
Ni mafukara tu mnapenda habar hizi zinazohusu nyuma.Mganga atapaka dawa kwenye kichwa cha dudu yake kisha anakuambia uiname upate baraka ya mizimu. Kesi ya didy imetufunua mengi.
Yaani matajiri wengi wa ndumba wameishawekwa mdudu kule nyuma.
Hata kama hupendi atakuwekea kilevi utalewa anageuza makalio anafanye yake ukistuka anakuambia hilo ndio tambiko. Kwa sababu ni tendo baya humuadithii mtu kwa hio mganga anaendeleza ufirauni wake mpaka anazeeka na kifa.
Ni fukara tu pekee anaependa kuongelea habari hizi zinazohusu nyuma.Connection ya kwa Didy. Upo tiyari uwekwe mdudu upate pesa ?
Alikula maisha sana, na akapona kifoIla mwamba alikula maisha. Yote ni sawa tu.
Njoo inbox.Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Utu hauna maana kama wewe ni maskini.Heshimu utu wako Boss.
Utajiri usikufanye ukauza nafsi yako. .
Not worth it
Wewe hupendi. Mnafiki mkubwa wewe.Vijana wanapenda kitonga......
View attachment 3111567
Aliponea mahala fulan hiviAlikula maisha sana, na akapona kifo
Utajiri sio rahisi kama wengi wanavyoutamka kamwe mdomoniUmewahi kufatilia kidogo hayo mambo ya giza mkuu?
Sina uhakika kama niliyoyaona na kuyaskia yamewapa utajiri walio nao au wanaulinda.
Lakini kuna watu wana kila kitu lakini wanachukua mbuzi usiku wa manane na kuzungusha nyumba nzima kisha anafanyiwa mambo flani flani yasiyo ya kawaida kisha anachinjwa.
Kuna tajiri tena ni mtu wa imani katika hizi dini kuu mbili uislamu na ukristo, kuna ritual alionekana akiifanaya makaburini. Point yangu ni kuwa usitoe hitimisho kwa jambo usilokuwa na ujuzi au taarifa ya kutosha.
Hayo uliyoyaandika hapo ni ukweli kabisa yanaweza kumfikisha mtu katika utajiri. Kwa kifupi utajirini safari rahisi sana na ngumu sana. Na ina maswali yake.
Wanataka nitosheke na shilingi mia mbili mbili sababu ntakua na amani.Utajiri sio rahisi kama wengi wanavyoutamka kamwe mdomoni
Ajabu bongo ina wajuaji wanaojifanya kujua namna ya kupata utajiri..
Utasikia mara uza karanga sijui fanya biashara na ujitume sana hahahaaaa..
Wanajua maana ya utajiri kweli??
Au wanadhani kuwa na uwezo wa kuingiza 70k per day ndio utajiri?
Utajiri unajumuisha vitu hivi hapa!!
Mali nyingi:
Hapa unakuwa na nyumba nyingi tufanye kumi na kuendelea juu hadi mia na zote zimepangishwa na watu wanalipa kwa utaratibu na pesa inaingia kwenye mfuko wako.
Magari:
Hapa una malori ya mizigo like fuso, semi na mabasi mengi..
Biashara kubwa kubwa nyingi kama vile vituo vya mafuta maduka ya bidhaa mbali mbali makubwa yenye return kubwa na isiyokatika mfano ma mini supermarkets na mà depot makubwa yaani stockist wa kwenda..
Majahazi ya uvuvi na mitumbwi hapa unakuta mtu ana mitumbwi zaidi ya mia mbili ziwani au baharini.
Na mara zote bidhaa zinafoka kwenye maboti yake mpaka giza linaisha mtu amekunja zaidi ya M 500.
Una vihoteli classic na lodge zilizosimama zaidi ya 30.
Una mashamba maheka na maheka unafuga mang'ombe mengi zaidi ya elfu tano..
Yaani umetengeneza ajira kwa watu zaidi ya 1000 na wengine huwajui wala kuhusika nao kabisa lakini channel zako tu zinawafanya wasavaivu..
Huo ndio utajiri anaouzungumzia mleta mada sio awe toiller..
Mtoto mdogo bado wewe, msubirie shem akuletee chakula hapo ulipo.Kuna jamaa alikuwa anajiita WhyMe naye alikuwa kama wewe. Nikamwambia kama akija kupata utajiri kwa uchawi basi mimi nitakuwa muongo.
Hakuna utajiri wa uchawi.
Hakuna amani kwenye umasikini kamwe,,Wanataka nitosheke na shilingi mia mbili mbili sababu ntakua na amani.
Cc. Chief GodloveNataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mh. Ila mkuu umeongea point.Utajiri sio rahisi kama wengi wanavyoutamka kamwe mdomoni
Ajabu bongo ina wajuaji wanaojifanya kujua namna ya kupata utajiri..
Utasikia mara uza karanga sijui fanya biashara na ujitume sana hahahaaaa..
Wanajua maana ya utajiri kweli??
Au wanadhani kuwa na uwezo wa kuingiza 70k per day ndio utajiri?
Utajiri unajumuisha vitu hivi hapa!!
Mali nyingi:
Hapa unakuwa na nyumba nyingi tufanye kumi na kuendelea juu hadi mia na zote zimepangishwa na watu wanalipa kwa utaratibu na pesa inaingia kwenye mfuko wako.
Magari:
Hapa una malori ya mizigo like fuso, semi na mabasi mengi..
Biashara kubwa kubwa nyingi kama vile vituo vya mafuta maduka ya bidhaa mbali mbali makubwa yenye return kubwa na isiyokatika mfano ma mini supermarkets na mà depot makubwa yaani stockist wa kwenda..
Majahazi ya uvuvi na mitumbwi hapa unakuta mtu ana mitumbwi zaidi ya mia mbili ziwani au baharini.
Na mara zote bidhaa zinafoka kwenye maboti yake mpaka giza linaisha mtu amekunja zaidi ya M 500.
Una vihoteli classic na lodge zilizosimama zaidi ya 30.
Una mashamba maheka na maheka unafuga mang'ombe mengi zaidi ya elfu tano..
Yaani umetengeneza ajira kwa watu zaidi ya 1000 na wengine huwajui wala kuhusika nao kabisa lakini channel zako tu zinawafanya wasavaivu..
Huo ndio utajiri anaouzungumzia mleta mada sio awe toiller..
Chief Godlove msaidie huyu mwamba!Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?